dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,278
- 1,303
Daraja lina umri kuliko umri wa uhuru wa tanganyika, tanganyika hoi alafu daraja liwe zima kweli?Ninayo mashaka kama kweli daraja hili linafanyiwa routine checks. Daraja limejengwa 1959. Kwa umri huu na kuongezeka idadi ya magari yanoyuvuka daraja kila siku fatigue failure is a real possibility. Mungu tuepushe.