Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Daraja la Wami Chalinze Segera km litaharibika lipo lingine la kupitia Kijiji cha Mabdera lililojengwa na JWTZ
Kama njia zote hizi zitakosekana basi ni kupitia Morogoro Dumila Turiani Tanga, bado Tanzania ina Network kubwa ya barabara
Bado mwaka huu 2017 serikali imetenga
Bilioni 3/- kupanua daraja mto Wami
Sehemu ya daraja la mto Wami
SERIKALI imetenga Sh bilioni tatu katika mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kuanza upanuzi wa daraja la mto Wami.
Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mgeni Jadi Kadika(CUF) aliyetaka kujua lini serikali itapanua daraja hilo.
Nganyani alisema Serikali inatekeleza mpango huo kwa sababu inatambua kuwa daraja la Wami katika barabara ya Chalinze- Segera ni kiungo muhimu kati ya Dar es Salaam, pwani, Morogoro na mkoa ya kaskazini mwa Tanzania.
Daraja ni zima kasoro ni jembamba
Mamba hakuna ni woga tu
hata hivyo ashukuriwe GENTARMYCINE kwa kukumbushia huenda Project za viwanja vikasimama kwanza
Bilioni 3/- kupanua daraja mto Wami