Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,270
- 4,975
Wametoa maoni kwa mamlaka husika miaka 18 iliyopita,soma in btn the linesEngineer anapomwambia abiria waliyekutana nae safarini kuhusu suala zito la namna hii!! Hii ndio TZ bwana!! Wabunge, madiwani , wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa na mawaziri wenye dhamana hawaambiwi!! Negative people na negative thinking zitatumaliza wallah!!!! Kila siku tumechoka kuwekewa taharuki vichwani. Peleka hoja hii kwenye mamlaka zinaxoweza kuchukua hatua. Utakuwa umesaidia jamii hii.