live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,268
Kiukweli Kwa Sasa elimu ya Tanzania haina faida yoyote Kwa mtu aliyeishia kidato Cha nne au Sita
Hi elimu hapo zamani ilikuwa na thamani Kwa sababu ilikuwa inatimiza lengo la watu kujua kusoma na kuandika mwalimu Nyerere alifanikiwa katika hili ila Kwa Sasa inabidi tuende mbele zaidi
Maoni yangu ni kama ifuatavyo
1) Lugha ya kufundishia masomo yote iwe kingereza kuanzia darasa la kwanza Hadi chuo kikuu kiswahili kibaki katika somo la lugha ya kiswahili chenyewe na somo la uraia katika ngazi zote
2) katika mtihani wa kidato Cha nne watakao pata division one na two ndio waendelee na masomo ya advance Kwa ajili ya kuandaliwa kusomea prophenal mbalimbli
3) watakao pata division three wapelekwe katika vyuo vya VETA wakasomee ufundi ngazi ya Diploma
4) watakao pata division four wapelekwe VETA wakasomee ufundi ngazi ya certificate
5) Watakao feli kitadato Cha Sita eidha warudie mtihani Ili wapate credit za kusoma chuo kikuu au wapalekwe VETA wakasomee ufundi ngazi ya Diploma hapa atachagua mwanafunzi mwenyewe
Kwa mtiririko huo vijana wengi watapata elimu ya ufundi hivyo tatizo la ajira litapungua pia watakao enda chuo kikuu pia watapungu na tatizo la ajira Kwa wenye prophenal pia litapungua