Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Iyo mitaa niilingia nmekunywa valiamu na pangi namtafuta aliyenizingua mbona walisema yesu awabebe.
 
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
 
Dar !!ni kubwa mkuu it's depending Unaishi sehemu gani '' Tabia kama hizo hauwezi kuzikuta sehemu kama mbezi Luis yote. .kimara. .tabata. Boko. .na sehemu nyingine zenye mfanano huo
Tabata kimanga chimbo jipya la wanga na magaidi
 
Pole sana Kunde Ekeke niliwahi kukuuliza uliswagwa wapi ukarukaruka weeeee leo umeamua kumwaga hahahaha!!! hao siyo watu wazuri. kamanda Muroto atakua niliwahi kuishi Kindande.
 
Kaburi moja na pajua. .ila nilikuwa sijui kama ni wahuni. ...Si Kuna bara bara ya lami ukiifuata waenda kutokea tandika kwenye ile petrostation..yenye njia ya kuelekea Yombo vituka. ..?
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
 
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
Kaburi moja kule juu kuna barabara ambayo kulia inakwenda kutokezea tandika kushoto inaungana na barabara ya mbagala maeneo ya darajani
 
Kaburi moja na pajua. .ila nilikuwa sijui kama ni wahuni. ...Si Kuna bara bara ya lami ukiifuata waenda kutokea tandika kwenye ile petrostation..yenye njia ya kuelekea Yombo vituka. ..?
Ndio huko mkuu kote huko hakufai kabisa
 
Kuna rafiki yangu mmoja Magereza aliwahi kuibiwa mwaka 2010, akanitaarifu tukakutana kama washkaji 15 hivi, unaambiwa wahuni wote walihama mtaa siku hiyo, maana tulitokea kwa Azizi Ali, kuingia tu maeneo yao wahuni wote walikimbia [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuliwatembezea kichapo, wakizunguka mtaa wa pili tupo ni mwendo wa kichapo tu , ndani ya masaa mawili kila kona tukikatisha wao ni mwendo wa kukimbia
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Yes huko huko mkuu ni habari nyingine pande hizo wahuni wakindande wanakwambia kule ndio watu wamechanganyikiwa hatari
Duh --- Kuna jamaa yangu Alipanga area zile. .Yeye alikuwa Amepanga nyumba nzima. ..aliwahi kuni fuata sinza Kuna biashara tuliifanya akaniambia nikafuate pesa kwake. ..ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufika huko .....ila mpaka naondoka sikuwa nazijua sifa za huo mtaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…