Mtaa MZIMA Wamagufulika

Mtaa MZIMA Wamagufulika

12115933_1038224399531162_3664508864845649415_n.jpg
 
Wajinga wa kwenu wote, unajua uchi wewe pimbi? mimi nilieweka picha ndo nimewazalilisha au ni serikali yao iloshindwa kuwapa huduma? Kama laana ya kwanza kupewa ni CCM na serikali yake. Inayotafuta sifa za kijinga ni CCM inayotoa ahadi za ili ichaguliwe wakati bado imeshindwa kuhudumia wananchi wake wkati ingali madarakani. simbilisi wee.

Kama serikali haijafanya kitu muulize baba na mama yako watakuambia nchi ilikotoka mjinga wewe usiyjua hata historia ya nchi yako. Hao wapumbavu wenzio wameifanyia nini Tanzania zaidi ya kuiba na kukimbia huko na kuanza kuwadanganya wajinga kama wewe funga domo lako
.
 
huo mtaa ni wa kizalendo sana hakika magufuli ushindi umefika mlangoni pako
 
Acha udhalilishaji wewe kuwarusha mama zetu wakiwa uchi, unaelewa maana ya labour wewe? usitafute laana bure kwa kutafuta sifa za kijinga.

Nani anayewadhalilisha hao wamama kati ya ccm na giuseppe? Kwani huduma mbovu za hospitali zinatolewa na giuseppe?
 
Kama serikali haijafanya kitu muulize baba na mama yako watakuambia nchi ilikotoka mjinga wewe usiyjua hata historia ya nchi yako. Hao wapumbavu wenzio wameifanyia nini Tanzania zaidi ya kuiba na kukimbia huko na kuanza kuwadanganya wajinga kama wewe funga domo lako
.

Wewe pambaf Kama CCm imefanya lamaana mbona inatumia nguvu nyingi kujiuza? Ingefanya mikutano bila kuchanganya na fiesta, alafu isigawe pesa kwa watu ili waudhurie na kusomba watu kwenda kwenye mikutano, hayo mambo ingeachia wapinzani wao ndo wtumie nguvu kubwa kujiuza kwa wananchi.

Hayo unayoita maendeleo yana reflect vipi na wingi wa rasilimali tulizonazo? je ni sashihi kuanza kutoa ahadi za barabara kwa nchi yenye umri na resource kama Tanzania? Wewe ukubali au ukatae CCM imeshindwa tu.
(its your side now endelea na matusi ulifundishwa na baba ako Mkwaapa)
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?
pimbi ni wewe mnafiki. tangu awamu ya kwanza shida ya madeski maji madawa zilikuepo na kazi ya serikali na wananchi ni kuziondoa. mbona humuulizi mbowe hela aliyohongwa kwa kuuza cdm kwa nini hanunui madeski ya shule na dawa badala yake kakimbiza ugenini!
 
unajielewa unachokiandika au unaendeshwa na viroba?
 
Kweli, na naona barabara ya lami aliyo ijenga !!!
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

Hakuna Jamii au Taifa lolote Duniani limewahi kuleta Mabadiliko kwa kuzungusha Mikono-Magufuli
 
ni wa kuhurumia tu

baada ya jumapili watarejea kwenye shida zao na mwisho wa siku wanapitisha bakuli kuomba pesa ya matibabu na ada za shule

watu kama hao ni kuwatosa tu

hawajui watendalo

Sasa nyie Mlimleta Fisadi, Mwizi, Mbaguzi na Mgonjwa ili kuondoa hizo shida? Watu wanairudishha Ccm madarakani sio kwa kuwa ni wazuri au hawaumii kwa shida ulizotaja bali kwa kuwa Mbowe kalazimisha Ccm irudi kwa kuteua Mtu asiefaa
 
Mkuu mtaji mkubwa wa magamba, ni umasikini na ujinga wa wananchi walio wengi. Na hadi hawa pimbi waishe itachukua muda. yaani hata leo nimeona wakina mama wengi huko mbagala kwenye mkutano, wa ccm ni wale mama wa nyumbani, kwani utajua ni ujinga tu.

Wanywa Viroba wa kule Moshi na Nyumbu wengi mliopo humu mbona ni wajinga na Masikini wa kutupwa mbona sio ccm? Kuondoa ajenda ya ufisadi kwny kampen zenu kumeruhusu Ccm kuitumia na ndio mpaka sasa inawauza.
 
Sasa nyie Mlimleta Fisadi, Mwizi, Mbaguzi na Mgonjwa ili kuondoa hizo shida? Watu wanairudishha Ccm madarakani sio kwa kuwa ni wazuri au hawaumii kwa shida ulizotaja bali kwa kuwa Mbowe kalazimisha Ccm irudi kwa kuteua Mtu asiefaa
"nyie akina nani??

Huyo mwizi, fisadi na mgonjwa kakimbia wezi wenzake, wagonjwa wenzake na mafisadi wenzake kule walikua wengi sana... kaamua kukimbilia huku kwingine kama ambavyo wazinzi, wadhambi na wahalifu wanavyokimbilia kuomba msamaha na ku-move on

Huko alipotoka hapafai.... mwacheni tu akimbie

Kuhusu Mbowe, sina cha kujibu, mbowe cant be stronger than all UKAWA combined, he is one uneducated DJ (si ndio huwa mnamuita hivyo??
 
"Sina Msamiati wa kushindwa" sasa anasema akishindwa atakuwa Mfugaji Monduli. Hana time na ukawa akishashindwa ndo mtajua madhara ya kuzika hoja ya ufisadi ambayo ndo ccm inatamba nayo mpaka kwny mabango.
 
Back
Top Bottom