CMM NI ILE ILE, NI ILELE, WATATUKOMA CHAMOTO WATAKIONA
( ndo hayo hapo chini)
View attachment 301292
View attachment 301293
Mkuu Heshima yako,Mnajifanya wakakamavu wakati mnaogopa hata kulinda kura?
[h=3][/h]Hii ni ishara ya UKAKAMAVU kwa Amiri Jeshi Mkuu![]()
Duh basi hii ingekuwa kwa fisadi lowasa, yaani tusingekunywa maji. Kura yangu kwa Dr Magufuli[e/QUOTE]sijawahi kuona ujinga kama huu. Ina maana pushup za Magufuli ndio maendeleo?
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..
Au ndo zitakazo leta maendeleo?
ni wa kuhurumia tu
baada ya jumapili watarejea kwenye shida zao na mwisho wa siku wanapitisha bakuli kuomba pesa ya matibabu na ada za shule
watu kama hao ni kuwatosa tu
hawajui watendalo
Ukijua division of labour huwezi kuhangaika kulinda kura tumeajiri askari na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu sas tabu ya kukesha na kulinda kura ya nini? Anayekuambia ukalinde kura kakudharau na kukuona ni mpumbavu na ni lofa unakatwa kodi ili askari alipwe leo hii tena wewe umekuwa mlinzi !!!! hata kama una matope kichwani huwezi kukubali labda uwe chizi kabisa.
Wewe ndiyo mtoto polisi jamii ya juzi mimi nimelinda sungusungu ya Mrema na niliuwa jambazi kama wewe usiyejua ukweli kama una akili timamu huwezi kutumwa ukalinda kura wakati wakala wa mgombea yupo na amelipwa fedha za kutosha na hilo kama halitoshi bado kuna polisi hao wote hawaaminiki kwenu basi mwiteni mgombea mwenyewe na mke wake alinde na sioyo kuwatanguliza nyie wajinga na mnakubali. Sawa lakini muhakikishe mna pesa za kutosha kuacha matumizi nyumbani kwen
Wakina mama wajawazito nao wanagufulika chini mahospitali kwa kuwa hakuna vitanda!
Kila siku polisi wanatuambi kuhusu urinzi shirikishi watu wanataka kuwasaidia kurinda wao hawataki wana rengo gani kama sio wizi????
Wajinga wa kwenu wote, unajua uchi wewe pimbi? mimi nilieweka picha ndo nimewazalilisha au ni serikali yao iloshindwa kuwapa huduma? Kama laana ya kwanza kupewa ni CCM na serikali yake. Inayotafuta sifa za kijinga ni CCM inayotoa ahadi za ili ichaguliwe wakati bado imeshindwa kuhudumia wananchi wake wkati ingali madarakani. simbilisi wee.Acha udhalilishaji wewe kuwarusha mama zetu wakiwa uchi, unaelewa maana ya labour wewe? usitafute laana bure kwa kutafuta sifa za kijinga.
[h=3][/h]Hii ni ishara ya UKAKAMAVU kwa Amiri Jeshi Mkuu![]()
Haya, Wakati unalinda SUNGUSUNGU polisi hawakuwa wanalipwa? Au ulikuwa huwaamini?
Ndio maana nakuita mtoto.