Mtaa MZIMA Wamagufulika

Mtaa MZIMA Wamagufulika

"Sina Msamiati wa kushindwa" sasa anasema akishindwa atakuwa Mfugaji Monduli. Hana time na ukawa akishashindwa ndo mtajua madhara ya kuzika hoja ya ufisadi ambayo ndo ccm inatamba nayo mpaka kwny mabango.
teh teh teh.... mwaka huu hata bubu anasema

kokh... kohh
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

kwahio wasipopiga push up maendeleo yatakuja??
 
Wewe pambaf Kama CCm imefanya lamaana mbona inatumia nguvu nyingi kujiuza? Ingefanya mikutano bila kuchanganya na fiesta, alafu isigawe pesa kwa watu ili waudhurie na kusomba watu kwenda kwenye mikutano, hayo mambo ingeachia wapinzani wao ndo wtumie nguvu kubwa kujiuza kwa wananchi.

Hayo unayoita maendeleo yana reflect vipi na wingi wa rasilimali tulizonazo? je ni sashihi kuanza kutoa ahadi za barabara kwa nchi yenye umri na resource kama Tanzania? Wewe ukubali au ukatae CCM imeshindwa tu.
(its your side now endelea na matusi ulifundishwa na baba ako Mkwaapa)

Hakuna namna mtakubali
 
Hizo pesa nyingi umezitoa wewe au baba yako Lowassa? Hizo pesa mnazotumia kutaka kusafirisha wanavyuo zenyewe siyo pesa? kwa hakika tumewagundua na hamtushindi ng'oooo Ingieni barabarani muone na viroba vyenu.
 
Hakuna Jamii au Taifa lolote Duniani limewahi kuleta Mabadiliko kwa kuzungusha Mikono-Magufuli
Kweli kabisa, maendeleo yanakuja kwa kuzungusha bakuli tu.

OMBA OMBA ALIKEKALIA KITI CHA DHAHABU KILICHOJAA MATOPE, YEYE ANAFIKIRI NI MBAO CHAKAVU, ANAENDELEA KUOMBA TU, WENYE NACHO WANAMKOPESHA KWA MASHARITI KUWA ASIOSHE HICHO KITI, USIKU AKILALA WANAPITA WANAMEGUA DHAHABU KIDOGO, MAISHA YANAENDELEA.
 
Back
Top Bottom