Mtaa MZIMA Wamagufulika

Mtaa MZIMA Wamagufulika

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha...

Hivi matusi hujibiwa na nini kama sio tusi?

CCM karibia kampeni zote majujwaani wamekuwa wakiwatusi wenzao wa upinzani hususani Lowassa, lakino wao kuguswa kidogo tu imekuwa nongwa...

[video]http://whatsappvidz.com/halima-mdee-atoa-maneno-machafu-kuhusu-magufuli-kupiga-push-up/[/video]
 
kunya anye kuku akinya bata kaharisha...

Hivi matusi hujibiwa na nini kama sio tusi?

Ccm karibia kampeni zote majujwaani wamekuwa wakiwatusi wenzao wa upinzani hususani lowassa, lakino wao kuguswa kidogo tu imekuwa nongwa...

ccm hawakutikana walikuwa wanawasilisha ukweli usiosemwa hadharani
 
Naomba kufahamu gharama za @viroba (aina ya double punch )
walivyokunywa vijana flani aligaramia nani...?

b4.jpg

Hii ni ishara ya UKAKAMAVU kwa Amiri Jeshi Mkuu
 
UJINGA tu, hakuna kingine zaidi ya hicho!
 
Mnajifanya wakakamavu wakati mnaogopa hata kulinda kura?

Ukijua division of labour huwezi kuhangaika kulinda kura tumeajiri askari na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu sas tabu ya kukesha na kulinda kura ya nini? Anayekuambia ukalinde kura kakudharau na kukuona ni mpumbavu na ni lofa unakatwa kodi ili askari alipwe leo hii tena wewe umekuwa mlinzi !!!! hata kama una matope kichwani huwezi kukubali labda uwe chizi kabisa.
 
Ulishawahi kusikia habari ya Polisi jamii? Uliwahi kupangiwa zamu ya kwenda sungusungu wewe?

Yaonekana u mtoto wala hujui kitu. Unadhani CCM wanapenda kuondolewa madarakani?
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

Mkuu mtaji mkubwa wa magamba, ni umasikini na ujinga wa wananchi walio wengi. Na hadi hawa pimbi waishe itachukua muda. yaani hata leo nimeona wakina mama wengi huko mbagala kwenye mkutano, wa ccm ni wale mama wa nyumbani, kwani utajua ni ujinga tu.
 
Hivi mikataba itavunjwa kwa kupiga push ups?
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

Kuna watu mapimbi sana eti watachagua wapiga deal ambao ambao kwa zaidi ya miaka 20 walikuwa kwenye mfumo na waliudhoofisha na sasa wanaonekana ni watakatifu huko waliko, kura yangu itampa ushindi Magufuli, Magufuli for change
 
Ulishawahi kusikia habari ya Polisi jamii? Uliwahi kupangiwa zamu ya kwenda sungusungu wewe?

Yaonekana u mtoto wala hujui kitu. Unadhani CCM wanapenda kuondolewa madarakani?

Wewe ndiyo mtoto polisi jamii ya juzi mimi nimelinda sungusungu ya Mrema na niliuwa jambazi kama wewe usiyejua ukweli kama una akili timamu huwezi kutumwa ukalinda kura wakati wakala wa mgombea yupo na amelipwa fedha za kutosha na hilo kama halitoshi bado kuna polisi hao wote hawaaminiki kwenu basi mwiteni mgombea mwenyewe na mke wake alinde na sioyo kuwatanguliza nyie wajinga na mnakubali. Sawa lakini muhakikishe mna pesa za kutosha kuacha matumizi nyumbani kwen
 
Back
Top Bottom