Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
327
232
Wakuu habari,

Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita huko mashuleni hawa watoto wetu wanapewa hizi dawa na miswaki.

Je, kuna usalama wa kiafya?
Kwanini kampeni haikujikita kuhamaisha bila kugawa dawa za kuswakia? Je kama kuna madhara, si hizo bidhaa zilithibitishwa na tbs? Watoto wetu wasije kukosa uwezo kufanya mambo.

Wizara ya elimu na wadau husika chunguzeni, tusije kuharibu watoto wetu.

Pia soma:

IMG-20230331-WA0000.jpg
 
Hili nalo linafikirisha sana hivi wamefanya utafiti wakagundua hawana dawa majumbani mwao?
Sioni kama kuna utafiti ulifanywa kwasbabu moja. Watoto wanapewa wote dawa na mswaki. Haijalishi nyumbani ipo au haipo
 
Kama unatumia colgate ukiwa mdogo kuacha inakuwa ngumu kidogo kutokana na quality yake wanawazoesha kuja kununua badae.

Ila kwa dunia ya sasa wachukue sample hyo kidogo wakapime waone.
 
Sioni kama kuna utafiti ulifanywa kwasbabu moja. Watoto wanapewa wote dawa na mswaki. Haijalishi nyumbani ipo au haipo
Je inashirikisha wazazi au ni ghafla tu
Hii inapaswa kushirikisha wazazi au walezi
 
Kama unatumia colgate ukiwa mdogo kuacha inakuwa ngumu kidogo kutokana na quality yake wanawazoesha kuja kununua badae.

Ila kwa dunia ya sasa wachukue sample hyo kidogo wakapime waone.
Tatizo misaada inayotolewa inakua na masharti sana. Sii rahisi kuikataa
 
Wanaanz kuwapa hizo za kawaida then baadae mnapew za kishogaa
 
Haya maswali kuntu sana mkuu
Ndio kwa sababu hata km mm lazma nishtuke naona mtoto anakuja na dawa nyumbani

Pili mwisho dawa inatumika nyumbani alike mzazi sasa km humshirikishi hapo inakaaje
 
Back
Top Bottom