Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.
Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.
Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote