kisumbusi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 978
- 1,221
Shirika libinafsishwe tu
Hakuna namna
Shirika libinafsishwe tu
Mkuu heri tu wabinafsishe ,hatuna cha kupoteza maana hata sasa hawana cha kupoteza kwa ubovu wa hudumaShirika libinafsishwe tu
Hakuna namna
Upungufu wa umeme hausababishwi na technical issue, changamoto hapa ni siasa chafu
Ni mikoa gani hiyo bado kuna mgao wa umeme kiasi hicho? Huyu niliko hakuna mgao for a month.Mm nashauri TANESCO uzwe tu. Tangu saa 11 jioni hakuna umeme huku kwetu.
Biteko aondoke!
Sasa mkuu kama wakati wa ukame wanasema kina cha maji kipo chini, wakati wa mvua nako hamna umeme sasa hawa watu wana solution kweli kama siyo siasa chafu,imagine miaka nenda rudi marais na mawaziri awamu zinaisha hakuna unafuu wa umemeUpungufu wa umeme hausababishwi na technical issue, changamoto hapa ni siasa chafu
Kwahili tuone kwanza nchi iliyofanikiwa kwa hili
Sawa kama haitabinafsishwa je huoni hadi hapa TANESCO wameshafeli?Imibinafsishwa kiboya - kama ilivyo kawaida kwa binafsishaji - tunapata Moto zaidi ya huu. Waulize Waganda wanachopitia, wanadhukuru mkataba unafikia ukingoni
Mambo yapo wazi ni siasa chafu zinafanyika na hazitaisha, kwa watanzania walivo vichwa panzi watawarudisha viongozi hawa haya yatarudiwa na hamna kitu tutafanya..... ndo maana mda mwingine inabidi uangalie familia yako wanakula vizuri, watoto wanasoma mazingira mazuri na una akiba yako mengn yaache..... Watanzania tunajihujumu sanaSasa mkuu kama wakati wa ukame wanasema kina cha maji kipo chini, wakati wa mvua nako hamna umeme sasa hawa watu wana solution kweli kama siyo siasa chafu,imagine miaka nenda rudi marais na mawaziri awamu zinaisha hakuna unafuu wa umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mkuu. Tumuondoe Biteko kwanza ndiyo nitakujibuNi mikoa gani hiyo bado kuna mgao wa umeme kiasi hicho? Huyu niliko hakuna mgao for a month.
Mheshimiwa Rais ameivunja bodi ya TANESCO, naona kama alichungulia JFMambo yapo wazi ni siasa chafu zinafanyika na hazitaisha, kwa watanzania walivo vichwa panzi watawarudisha viongozi hawa haya yatarudiwa na hamna kitu tutafanya..... ndo maana mda mwingine inabidi uangalie familia yako wanakula vizuri, watoto wanasoma mazingira mazuri na una akiba yako mengn yaache..... Watanzania tunajihujumu sana
Sanaa tu hzo na tiara za miaka nenda rudiMheshimiwa Rais ameivunja bodi ya TANESCO, naona kama alichungulia JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho mambo ni yale yale, unavunja bodi halafu mkurungezi wa bodi uliyovunja unampeleka kuwa balozi nje ya nchi, mtu aliyeshindwa kuongoza Taasisi unamhamisha na kumpa kazi nyingine badala ya kuwekwa pembeni,wangetia nidhamu na umakini mtu akiharibu anatakiwa akae pembeni kabisa siyo kumhamisha kitengoSanaa tu hzo na tiara za miaka nenda rudi
Macho mlegezo hamna mtu pale nlimfurahia mwanzon ila nlikuja kuona ni mtu dhaifu kuwahi kumuona kwenye maisha yanguKesho mambo ni yale yale, unavunja bodi halafu mkurungezi wa bodi uliyovunja unampeleka kuwa balozi nje ya nchi, mtu aliyeshindwa kuongoza Taasisi unamhamisha na kumpa kazi nyingine badala ya kuwekwa pembeni,wangetia nidhamu na umakini mtu akiharibu anatakiwa akae pembeni kabisa siyo kumhamisha kitengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio uongo, sikatai uwepo wa tatizo la umeme ila huku hakuna huo mgao.Acha uongo mkuu. Tumuondoe Biteko kwanza ndiyo nitakujibu