Mswada upelekwe bungeni TANESCO ibinafsishwe tu

Mswada upelekwe bungeni TANESCO ibinafsishwe tu

TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Huduma ya umeme nchini kua chini ya kampuni binafsi itakua sawa na ukoloni. Kuna hujuma kubwa tanesco ili kuhalalisha ubinafsishaji wake kitu wananchi hawatakubali. Mbona miaka mitano ya uongozi wa magufuli hali ilikua bora na hata kuwepo mpango wa bwawa la mwalimu nyerere. Tanesco ikibinafsishwa ni nani hasa ataweza kulipia uwekezaji mkubwa wa umma uliyokwisha fanyika na kisha aweze kufanya biashara ya faida. Kinachotakiwa ni usimamizi wenye tija wa serikali kwani umeme ni huduma kuwezesha sekta zingine kushamiri na kuleta maendeleo. Wakiwekwa wapigaji kusimamia nishati ndio inakua shida kwa hivyo ni kuhakikisha wapigaji wako mbali na wanadhibitiwa sekta zote.
 
Kwann muswada upelkwe bungeni kuibinafsisha TANESCO? Mbona wameuza, wameuganisha, wamebinafsisha na wamefuta baadhi ya taasisi na mashirika ya umma mfano taasisi ya chakula na lishe bila kupeleka muswada bungeni ?
 
Nakumbuka pofesa muhongo aliwahi kushauri Kuwa tuachane na uwekezaji mkubwa kwenye umeme wa maji kwakuwa so wa uhakika kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa Bali tuwekeze kwenye umeme wa gesi na kwamba gesi inaenda Kuwa nishati kuu duniani Latina uzalishaji wa umeme lakini walimpuuza,
 
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Ni kipindi cha miaka mitatu imepita tangu TANESCO itoke kwenye shirika lisilojiendesha kwa faida mpaka shirika lenye kujiendesha kwa faida.

Lakini siku zinavyozidi kwenda TANESCO inaonekana tena kuludi kule ambako ilitoka na hofu yangu kubwa ni kwamba hadithi tuliyosimuliwa awali ilikuwa ni kweli au ndio zile hadithi za Abunwasi na wenzake? Maana mpaka sasa hali ya TANESCO ni mbaya sana na iko ICU na ninahisi muda si mrefu TANESCO itaanza tena kuomba ruzuku kutoka serikali.

Mwisho, napenda kuuliza ni lini TANESCO itafikia ndoto ya kuwa shirika lenye tija na manufaa kwa umma? Hii inatokana na hali ilivyo sasa TANESCO inaonekana kuwa miongoni mwa mashirika umma yaliofeli kujiendesha yenyewe.
 
Dear director rea project how to be pre qualified class one in tender documentary to bird all contractors rea? Because they don't know to identify the project strategy management in analysis to identify to present in intaview and question and answers to identify because the cerficate decolation is not results field work. How did they get it 12 months ago the same 365 days they should be to identify if a really electrical engineers around the world wide refer contract agreement written. As follow

1:Financial management and security fund and controller as follow
A. Value of money the running cost budget estimated is available 119.709.450 tsh refer annex 1 budget instructed in analysis as follow
  • Price per km construction line
  • Price to install customers connection
  • Price to install transformers
and pole dressing and installation
B: deducted retention 5% is available amount 5.985.472.5 tsh to reduce our value of money automatically
C: with tax holding 5% is available amount 5.985.472.5 tsh
D. Total deducted is available amount 11.970.945 tsh
E: remaining balance is available received to run the project and to provide all facility personal 95% sub contractors is available amount tsh 107.738.505 -:-dived 12 months Period of agreement the same total days 365 is available amount per month tsh 8.978.208 .75 dived 30 days is available amount per day 299.273.625 tsh how to run this amount and also results to deliver the job and to provide all facility personal 95% and how to recover vat on time? As follow in analysis to identify
  • Transportation cost budget daily each clew 100.000tsh
  • 16.733km scope of work mv line-:- 5 km per liter velocity waves daily at site to distribute our material and our staff is available total lite 3.3466 times 2 our destination daily comsupition is available total lite 6.6932 * times 3500 tsh price labor cost budget is available amount 23.426.2 daily at site
  • 35.03km scope of work lv line -:- dived 5km per liter velocity waves is available 7.006 lite times 2 our destination daily comsupition is available total lite 14.012 times 3500tsh price per liter is available daily cost at site 49.042 to distribute our material and our staff daily at site
*Transportation cost daily at site tsh 100.000 one clew
* Labor cost budget one clew in analysis as follow
20qty labor cost daily at site 200.000tsh
8qty climbing lineman at site 160.000tsh
1qty drive 20.000tsh
1qty foreman at site daily. 30.000tsh
Total amount one clew. 410.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh ? To provide all facility personal and to run
* Transportation cost to follow material warehouse each trip. 300.000tsh
100km from kibaigwa kogwa district to passed chamwino district to arrive dodoma town warehouse -:-dived 5km is available total lite 20 and go and return each trip 40lite times * 3500tsh is available amount 149.000
* Purchased safety gear PPE and insurance reqistation our staff estimated amount 7.000.000tsh
*Purchased working tools at site and damage tools estimated 11.000.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh to recover all facility personal 95% and also to run the project personal and also to deliver the job personal? How did they get it the value of money 119.709.450 to provide all facility and to run the project? Should be to identify the really electrical engineers which used formula the principal method to calculate mathematics and also results the number answers?

Planning material management and program to be pre qualified class one to identify in analysis as follow
A. 360km total from iringa to kibaigwa site -:-80 speed limit velocity waves is available total hours to arrive to deliver our wooden poles the same 4.5 hours each trip
B. 70qty each trip wooden poles 12mt size -:-16.733km scope of work ht line is available 4 trip total* times 70qty = 280qty is available
C 120qty -:-35.03km scope of work lv line is available 3 trip total*times 120qty each trip is available total 360pc wooden poles
D: 16
 
Tanesco iuzwe hisa Iwe taasis huru isiongozwe toka juu, Ijiongoze yenyewe.

I mean iwe inauzia umeme mpaka ikulu
 
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
wabinafsishe ccm, sio tanesco. Shida ya tanesco ni wanailea hawa wanasiasa wachache sana waliopo madarakani. Mfano awamu iliopita angalau walitulia, tuliweza kufunga umeme kwa sh.27,000/= lakini sasa visingizio kibao na mvua zinanyesha/umeme ghari
 
wabinagsishe ccm, sio tanesco. Shida ya tanesco ni wanailea hawa wanasiasa wacjacje sana waliopo madarakani. Mfano awamu iliopit angalau walitulia, lakini sasa visingizio kibao na mvia zinanyrsha
Tutafanyaje kukiwa hamna mvua wanasema hamna maji kuna ukame,kukiwa na mvua wanasema miundo mbinu imeharibiwa, inshort kuwa na mvua na kusiwe na mvua hamna umeme wa maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom