Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,581
Nimeipenda hii, no beating round the bush!!!Source: Mimi mwenyewe!
saaaafi sana ila sasa kama ilikua tangu asubuhi mbona umechelewa kuiweka jamani hadi jioni hii.
Ulikuwa unatafakari kwanza ama umetunga?Tumechoshwa na mengi sana kwenye hii nchi.
Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya, ameipa live serikali ya Jakaya Kikwete kua, kama itashindwa kuyakabili matatizo ya Umeme na ajira kwa vijana basi siku si nyingi Nchii hii itakua kama Libya ama Tunisia
Msuya aliyasema hayo leo asubuhi wakati wa mjadala wa kitaifa uliondaliwa na taasisi ya sekta binafsi Tanzania.
"Its a shame for a 50 years old country kukosa umeme.. kama serikali itashindwa kutimiza matakwa yake basi siku si nyingi Tanzania itakua kama Tunisia."
Msuya aliyasema hayo huku akishuhudiwa na William Ngeleja, Mary Nagu, Friedrick Sumaye, zitto kabwe na baadhi ya wanaharakati na wadau kadhaa wa taasisi hiyo.
"only 14% enjoys the umeme, the rest wote wako vijijini..ni aibu kwa serikali..as a country we are sorounded by 8 countries, tunazitendea haki kweli? are serving them properly? the government must take advantage of everything and generate economic returns to its people" alimalizia Msuya na kushangiliwa kupita kiasi.
Source: Mimi mwenyewe!

ccm will never perish
msuya amezeeka hana upeo
ccm will never perish
msuya amezeeka hana upeo
unajua huko kwenu kisiwani kama jina lako lilivyo hamtegemei kupata umeme. lakini all in all gesi inatoka lindi inasafirishwa mpaka dar kwa mabomba ndio ifue umeme.Wakati huo mikoa jirani na lindi pamoja na lindi yenyewe hawana umeme! ni akili au matope hayo.Ni gharama kiasi gani zimetumika kujenga bomba na tungeokoa kiasi gani kama gesi hiyo ingezalishia umeme huko huko lindi. siku nyingine usifikiri kwa kutumia masaburi peleka fikra kichwani kwanza. SHAME ON YOU.MUHESHIMU SANA HUYU MZEE AU HUKUONA VASCO DA GAMA AKIMUITA AWAPELEKE KITCHENPARTY MAWAZIRI WAKE!ccm will never perish
msuya amezeeka hana upeo