Msuto wa Snowhite na FP

Msuto wa Snowhite na FP

weeee umesahau kwamba mm siwezekani??

BTW hivi zombie bado anaendelea kukuganda ama umemchunia? ........ni ngumu sana kumtoa mtu aliyejipanda moyoni mwako umeona enh!


gfsonwin, zombie kajipanda na kuota mizizi kwenye mtima wa Kongosho.....hapo konhosho makopakopa yamemzidia ndo maana kabakie oooh selebasi chezeya zombie wewe......
 
Last edited by a moderator:
Nimemchunia na sms zake sijibu

Ila mmh, bora kuwa celibate kwa muda, ngoma nzito :behindsofa:


tobaaaaaaa seriously Kongosho unajua ushanasa wewe hapo????? yaaani zombie akiongeza juhudi kiduuuuchu tu anang'oa mzigo???? tobaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
ila kazi itakuwa ngumu ujue!unaijua stockholm syndrome?


kazi ngumu si kidogo si unaona coment ya hapo juu inathibitisha kuwa zomnie amebakisha nusu inchi tu ambebe Kongosho? Kunahitajika nguvu za ziada....ikiwezekana tushirikishe hadi wachungaji kukemea
 
Last edited by a moderator:
tobaaaaaaa seriously Kongosho unajua ushanasa wewe hapo????? yaaani zombie akiongeza juhudi kiduuuuchu tu anang'oa mzigo???? tobaaaaaaaaaaaa
zombie kagoma kuchukua mzigo bila kuwa na balabendi!yani kitu kiwe kipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaH!konnie kapiga mahesabuuuu kaona isiwe shida sealed tu!ngoja niulize jamani celibacy ndo nini?
 
zombie kagoma kuchukua mzigo bila kuwa na balabendi!yani kitu kiwe kipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaH!konnie kapiga mahesabuuuu kaona isiwe shida sealed tu!ngoja niulize jamani celibacy ndo nini?


sasa kongosho si angesema tumpe bikira safiiiiiii brand new???? ila zombie hakubaliki loh heri aikose

selebasi ni kitendo[cha kuacha kutumia 'ile kitu nameza yenzake'
 
ujue mie na wewe ni kama uji wa maziwa na mjamzito?

Hebu rudi upesi huku kabla zijaja kukuzahamisha huko uliko.
Hahahahah!

Fanya mpango wa nauli basi, mzembe biashara ya vyuma chakavu imenidodea....

Na huku hakuna fast jet..... Naskia huko buku arobain unatoka kwa Wazaramo mpaka Usukumani....

Afanaaleki, kufa hakuna breki!!!
 
Kusutwa sunna, ila sijaona kilaji changu hapo nami nshajipachika ugeni rasmi.. Hakuna haki hapo mezani.
 
na muda si mrefu tunaingia kwenye OPRAS!sasa ole wako! Madame B CEO anaangalia tu chezo linaendaje!

Sasa nini shosti? mbona unanitishia jamani? Ujue Kongosho ni my best! Nadhani performance yangu this time itashuka by 50%
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom