Msuto wa Snowhite na FP

Msuto wa Snowhite na FP

Nna uzoefu wa udaku, umbea na fitna ila sijawahi kusutwa. Aisee, siku ya kusutwa ntakufa nahisi ila lazma nimtoe mtu meno yote ya mbele!
Afu ukisutwa umaarufu unaongezeka town, Kongosho nipe majukumu plz
 
Last edited by a moderator:
Unanunua kesi MwaJ? Nakutahadharisha saabu nakupenda tu

Najua unanipenda Konnie lakini si unajua mie ni muajiriwa kwenye kampuni flan hivi ambayo CEO wake ni Madame B na huyo snowhite ndio kiongozi wangu wa kitengo? Sasa nikienda kinyume na maagizo ya yeyote kati yao sina kibarua hapa mjini!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho mi nadhani hujui unachokitaka mpaka sasa.... wewe sema unataka nini tukusaidie
mlongo wangu snowhite kajaribu kukusaidia labda inaweza ikasaidia.
halafu sisi kwetu wastaarabu sana, misuto akuuuuuuu hatujazoea siye
 
na muda si mrefu tunaingia kwenye OPRAS!sasa ole wako! Madame B CEO anaangalia tu chezo linaendaje!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho mi nadhani hujui unachokitaka mpaka sasa.... wewe sema unataka nini tukusaidie
mlongo wangu snowhite kajaribu kukusaidia labda inaweza ikasaidia.
halafu sisi kwetu wastaarabu sana, misuto akuuuuuuu hatujazoea siye

ahahahhahhahahhahha dada mkubwa we tulia!huyu wala hanizidi maji!
 
mmh hapa inabidi nipige breki kama jogoo aliyemkosa kosa tetee!
bibie mie hapa nafanya biashara hebu nigee hiyo rangi faster...
mtani wangu mi nakuaminia kwenye swala zima la kuhakikisha biashara yako unaimudu!
 
Bishanga umeanza kutoa ziri za home ya kusema kazi ya ungariba kwani mtaji wa kwenda machimbo umesahau ulikotoka.
 
Kutokana na hasira nilizonazo, naomba Zinduna uandae msuto wa snowhite na FP pale Wantashi-Masaki
Dress code: Smart Casual
Vinywaji: Red Wine, White and Green Wine, Whisky, no biere
Music: Carrebean Regae, Argentinian Tango, RHumba, bluzi
DJ: Bishanga
Kisa: Kumpigia Debe Zombie wa Konnie baada ya konnie kuamua kuwa celibate kwa miaka 5

Source Mimi Mwenyewe niliyeumizwa na mameno yao kwenye us=zi wangu wa Cleibacy kule MMU.

Nawakilisha. . ..

Uzee unakujia vibaya eeeh.
 
Last edited by a moderator:
ujue mie na wewe ni kama uji wa maziwa na mjamzito?

Hebu rudi upesi huku kabla zijaja kukuzahamisha huko uliko.

Sijambo asee...

Huku hakuna netiweki ya bure kama huko.

Nimekumisi kama keki ya harusi.
 
tena wewe lazima nikutoe kovu usoni
si unaringia huo u blaki byuti.

Najua nachotaka kifanya sana.

(namcelibacia zombie kwi kwi kwi- source Udaku wa snowhite)

Kongosho mi nadhani hujui unachokitaka mpaka sasa.... wewe sema unataka nini tukusaidie
mlongo wangu snowhite kajaribu kukusaidia labda inaweza ikasaidia.
halafu sisi kwetu wastaarabu sana, misuto akuuuuuuu hatujazoea siye
 
Last edited by a moderator:
tena wewe lazima nikutoe kovu usoni
si unaringia huo u blaki byuti.

Najua nachotaka kifanya sana.

(namcelibacia zombie kwi kwi kwi- source Udaku wa snowhite)
ahahhahhahhahahhahhaha mi kila siku huwa nasema nina telepathy jamani! muulizeni Mtambuzi ,we mzee hebu njoo uthibitishe uwezo wangu katika hili!
 
Last edited by a moderator:
ahahhahhahhahahhahhaha mi kila siku huwa nasema nina telepathy jamani! muulizeni Mtambuzi ,we mzee hebu njoo uthibitishe uwezo wangu katika hili!
mlongo wangu naomba nikuachie hii kazi, maana tutapoteza nguvu zetu tu tukimchangia, nakuaminia mwanawane, mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom