Msuto wa Snowhite na FP

Msuto wa Snowhite na FP

na wewe unaitikia tu ona sasa unajiita skrepa.

Kwa kuunganisha DOTS, mwalimu utamjua tu! Sikustukia kuunganisha hizo sentenso.. mzima wewe mwalimu gfsonwin? Close skul kam to Arusha to eat hen and duck, OK?
 
Last edited by a moderator:
Sasa nini shosti? mbona unanitishia jamani? Ujue Kongosho ni my best! Nadhani performance yangu this time itashuka by 50%

........afu mwaJ kwanini sikuoni kwenye rada zangu bibi? Nakutafuta ivo
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuunganisha DOTS, mwalimu utamjua tu! Sikustukia kuunganisha hizo sentenso.. mzima wewe mwalimu gfsonwin? Close skul kam to Arusha to eat hen and duck, OK?

ok thenkyu, skul is closed 14 dec, and i come to arusha to eat hen and duck
 
Rada zako zipi hizo Arushaone? nifahamishe rafiki. Mie nikikuona tu jamvini najua nina like yangu ya bure bila chenga!

Great!! Nilitaka tu nisikie sauti yako na nimeshaisikia.
 
Last edited by a moderator:
Rada zako zipi hizo Arushaone? nifahamishe rafiki. Mie nikikuona tu jamvini najua nina like yangu ya bure bila chenga!

Great!! Nilitaka tu nisikie sauti yako na nimeshaisikia. Tulisongeshe...
 
Last edited by a moderator:
uskute unatuita tuanze pre wedding preparations!
dada mkubwa ukuje na pendekezo la rangi kabisa! gfsonwin wee upitie pale glambox ukiwa na cacico mje na profile yao ili tuchague kabisa mwali wetu atakuwaje! Ciello we utapitia kwenye maweb uangalie nyie mamaids mtavaa nguo gani watu8 kazi ya suti kwa wapambe wa zombie inakuhusu sana mwaJ na BADILI TABIA mfuatilie ukumbi wa bridal shower sawa? King'asti we eneo lako unalijua mwali,bi harusi atafutiwe nywele nzuuri kwa ajili yake@
zinduna we kazi yako kuagiza kungwi toka ngazija na mwingine komoro
jamani nyie niliowataja mhakikishe mkija hapo masaki kwenye huo msuto anaoandaa Zinduna mje na ripoti kamili ya majukumu yenu!

wifi yangu snowhite nakuona unavyoitiwa kikao napata wasiwasi huyu shosti yangu Kongosho alibata mchumba siku si nyingi akatanguliza alipiwe kodi ya nyumba kwanza ha ha ha haaa! Toa msaada vikao vya harusi vinaanza wewe na FP nawaaminia, Bishanga ndo mwenyekiti wa kikao hakuna cha DJ, shosti kanusa bepari la kihaya litamwaga pesa haswa!
 
Last edited by a moderator:
jamani nimepitwaje??? kulala saa 3 na umeme wa mgawo ni janga! haya nipo na bikini tu, nawahi kuja suta mtu, niwe upande wa nani hebu puteni!! upande wa snowhite au Kongosho! lol
 
Last edited by a moderator:
wifi yangu snowhite nakuona unavyoitiwa kikao napata wasiwasi huyu shosti yangu Kongosho alibata mchumba siku si nyingi akatanguliza alipiwe kodi ya nyumba kwanza ha ha ha haaa! Toa msaada vikao vya harusi vinaanza wewe na FP nawaaminia, Bishanga ndo mwenyekiti wa kikao hakuna cha DJ, shosti kanusa bepari la kihaya litamwaga pesa haswa!

umejuaje? nani kakutonya hako ka siri?
 
Back
Top Bottom