Msuto wa Snowhite na FP

aseeeeee!!! nimekuweje ?? ishu nyingi zinanipita lol,ila mamito snowhite usijali nafanya mishe ya sare zetu maids....nahitaji na maombi yako na wanaMM na CC wote kwani sijielewielewi in ths 2 weeks naona ka siye Ciello vile............
 
Last edited by a moderator:
uskute unatuita tuanze pre wedding preparations!
dada mkubwa ukuje na pendekezo la rangi kabisa! gfsonwin wee upitie pale glambox ukiwa na cacico mje na profile yao ili tuchague kabisa mwali wetu atakuwaje! Ciello we utapitia kwenye maweb uangalie nyie mamaids mtavaa nguo gani watu8 kazi ya suti kwa wapambe wa zombie inakuhusu sana mwaJ na BADILI TABIA mfuatilie ukumbi wa bridal shower sawa? King'asti we eneo lako unalijua mwali,bi harusi atafutiwe nywele nzuuri kwa ajili yake@
zinduna we kazi yako kuagiza kungwi toka ngazija na mwingine komoro
jamani nyie niliowataja mhakikishe mkija hapo masaki kwenye huo msuto anaoandaa Zinduna mje na ripoti kamili ya majukumu yenu!
snowhite mie nishapata ukumbi pale Giraffe Hotel.
 
Last edited by a moderator:
Nimemchunia na sms zake sijibu

Ila mmh, bora kuwa celibate kwa muda, ngoma nzito :behindsofa:

weeee umesahau kwamba mm siwezekani??

BTW hivi zombie bado anaendelea kukuganda ama umemchunia? ........ni ngumu sana kumtoa mtu aliyejipanda moyoni mwako umeona enh!
 
Back
Top Bottom