Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
- Thread starter
- #41
Wee nae, unataka kudandia treni kwa mbele na hali unaona limeshawajeruhi wenzako??
Kusoma hujui hata picha huoni?
Kusoma hujui hata picha huoni?
Mmmh, we nae.
Una ugonjwa wa penda penda
Nimemchunia na sms zake sijibu
Ila mmh, bora kuwa celibate kwa muda, ngoma nzito :behindsofa:
Haya sasa wazee wa vigodoro....kazi kwenu.
kakojoe ulale,hapa ni adults only.
Haya sasa wazee wa vigodoro....kazi kwenu.
Nikamkojolee mkeo?
halafu wewe eliza wewe? kuna kipindi nilikupenda ujue?
Mmh, zombie mpana kama pazia la leba
Main course ya Msuto Masaki, afu desert ya msuto Travetine ama Mango Garden
Starter tunaweza anzia kanga Moko
Nikamkojolee mkeo?
hayakuhuu
Ha ha ha ha, huna maana wewe
kuna mikojo sampuli mbili uzaao na usiozaa ,unaongelea upi? na mke wangu yupi (nnao wengi) yule ex wako?