MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.

Hyo ni ishara tosha kuwa baadala ya ku base sana kwenye diplomasia Na upole kama tunavyofanya inabidi jeshi letu lijiandae Kwa offensive invasion
 
Na kama ikishindikana tuwavamie kwenye networks zao tuzi cripple digital infrastructures zao no internet access cyberwarfare serekali andaeni kitengo Malena
 
Msumbiji ni kwa kiasi gani wamekuwa wasahaulifu wa fadhila za watz Akutegemea jambo kama hili litokee Msumbiji kwa watz. Binafsi nilikuwa nafahamu kwamba uhusiano mzuri wa kihistoria baina ya tz na msj uliojengwa na fadhila za watz isingekuwa rahisi kuvunjwa na wanamuziki kama wamejaribu tu kukumbuka mtz ni nani kwao.
Kuna Wamakonde wengi sana wa Msumbiji tz ambao hata passport hawajui ni kitu gani. Wapo sana kusini na pwani na wanafahamika. Hata hapa Dar nenda mwenge vinyago pale nenda mbuyu mkwajuni ni wamefurika.
Imefika wakati watz tuache upole kama serikali imeshindwa itoe tamko tuwahamishe na kila anaefahamu alipo mmozambica kiholela atoe taarifa ili arudishwe kiholela kama wao wanavyofanya na mali zao wapewe watz waliopoteza mali zao msumbiji
 
Naona yule mama mwenye PHD Dr kolimba anaongea kana kwamba ni darasa la tatu yana anashindwa kutoa tamko la serikali linaloweza kuamsha serikali ya msumbiji ikaacha mara moja ujinga mbona hapa bongo raia wa msumbiji wengi sana na hatuwapori fedha zao
Imagine aliyebakwa ni mamako mzaz unajisikiaje Dr Kolimba umekaa tuu unaongea ujinga ujinga sijui io nafasi umeipataje pataje yan
 
Tatizo lipo kwetu sisi wenyewe raia. Ikiwa mpaka leo Mtanzania unategemea serikali ikusaidie unapofikwa na majanga, ndani ama nje ya nchi, basi wewe hujitambui! Ujuwe janga lolote ni lako mwenyewe na ulitatuwe kivyako!
Nina mashaka na afya yako ya akili, mtu mzima kichwani huwezi ukaandika 'pumba' namna hii
Nadhani hata maana ya serikali haujui, serikali inawajibu gani kwa Mwananchi wake (alieipa nguvu kuwapo hapo) pia haujui. Wakati mwingine ni afadhali kuficha ujinga wako tu kuliko kuuanika barazani kila mtu kuuona!
 
mtoa mada umeongea mengi sana ya muhimu na mimi kama mtanzania sina budi kukuunga mkono,lakini nachele kukuunga mkono katika kutaka kila jambo rais ndio awe msemaji au mtoa tamko,ili hali kuna idara na wizara ambazo zi nadeal na mambo kama hayo,istoshe tayari wiaya ya mambo ya nnje imeshalitolea ufafanuzi suala hilo kitambo tu.

Ni muhimu kuheshimu taasisi ya urais jamani si kila jambo ambalo linatokea nchini rais akimbie mbio aje kutoa tamko,pamoja na kuwa yeye ndiye kiongozi wa nchi lakini tutambue kuwa pia kuna idara zinazofanya kazi chini yake.

Mfano kipindi kile ambacho chadema walipotaka kufanya maandamano ya ukuta,ubalozi wa marekani ulitoa rai kwa raia wake wasikanyage maeneo ya mijini kuhofia usalama wao,sio obama aliyetia taarifa ile,pia vivyo hivyo wakati wa machafuko la al shabab kenya ni waziri wa mambo ya nnje wa marekani aliyetoa rai kwa raia wa marekani kutokuitembelea kenya kwa wakati huo,sio obama alitoa tamko hapo.

Watanzania heshimuni taasisi ya Uraisi
Kama raisi anaweza kujibishana na maoni ya kwenye mtandao kwenye hotuba zake hilo wewe umeliona la umuhimu saana kuliko kutoa tamko kwa wa Tanzania wenzetu walioteseka nchini Msumbiji? Mnavyopenda huyo "mungu" wenu asiguswe loh!
 
Nakumbuka mwaka jana ziliokotwa maiti kwenye mifuko ya sandarusi kwenye mto Ruvu tukaambiwa ni za wahamiaji haramu, km na sisi tumeanza kuyatenda hayo kwa wahamiaji haramu wa tz wenzangu basi tuwe wa pole tu kwa kinachoendelea sasa nchini Msumbiji!
 
SHIKAMOO MHESHIMIWA JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI NA UONGOZI WOTE KWA UJUMLA
KWANZA TUWAULIZE HUKO MSUMBIJI KANCHI KAKIPUUZI MLIFUATA NINI WAKATI TANZANIA KUNA KILA KITU TENA NA MENGINE MENGI AMBAYO WAO HAWANA AISEE NIMEAMINI MKIAMBIA KWAO NI MTUMWA NA MCHEZA KWAO HUTUNZWA!
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Tenda wema uczid uwezo watanzania na serikali imejitolea sana juu ya Uhuru wa msumbiji, leo haya ndio malipo yetu na serikali yetu tukufu bhado inasema wanafanya uchunguzi km kweli wakat matukio tunayaona na ndugu zetu wanaishi km digidigi serikali itume msaada zaid Watu wanateseka Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
.....amebakwa na maafisa 7 wa msumbiji hadi kufa. Ni kawaida ya maafisa wa msumbiji kuwabaka wafungwa hadi kufa......
 
Wabongo tuache umbea na inafiki..kupandikiziana chuki we hizi habari zisizo na vyanzo ukiambiwa thibitisha?
 
Back
Top Bottom