MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,489
900
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
 
labda wanauza madawa ya kulevya na mkuu alisema mabalozi wasiwatetee waache wanyongwe
Kaka hata kama raia wako ana makosa lazma usimame kumsaidia anabakwa bado unanyamaza kimya maofisa wauhamiaji tanzania wamenyamaza ...kule mtwara tu afisa mmoja altoa taarifa hyo dar wamenyamza rais kanyamza mabaloz wamenyamaza..waziri wa mambo ya nje kanyamaza...inauma sana hv familia ya huyo dada wanajckiaje juu ya hii serikali? Msumbiji wanapaswa kulipa kwa hili
 
unaishi wapi wewe rais ameshatoa amri raia walioko nje ya nchi kama wana makosa wasitetewe waache wanyongwe....huyo atakaewatetea unataka atumbuliwe?
 
Msumbiji hakupumbazi Wadanganyika kama isidingo ya sembe na Amrish Puri kuwa Yusuph Manji,infact sirikali iko busy na ujenzi wa viwanda na kuwashitaki wapinzani wanaokwamisha ujenzi wa viwanda huku mkulu akiwa bado ana tamani hata kupambana na waosha magari na waimba kwaya then atafikiria Msumbiji kama akipenda japo hapendi mambo ya nje!!
 
Kaka hata kama raia wako ana makosa lazma usimame kumsaidia anabakwa bado unanyamaza kimya maofisa wauhamiaji tanzania wamenyamaza ...kule mtwara tu afisa mmoja altoa taarifa hyo dar wamenyamza rais kanyamza mabaloz wamenyamaza..waziri wa mambo ya nje kanyamaza...inauma sana hv familia ya huyo dada wanajckiaje juu ya hii serikali? Msumbiji wanapaswa kulipa kwa hili

very painful! watanzania tupunguzeni kuchekea chekea wageni hawa, wenyewe wanachuki na roho mabaya kama wanyama!
 
Habari Jf

Jamn
Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka morogoro alokuwa akiish msumbiji kubakwa na maofisa wa msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital uko msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatmaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospital hali yake ilkuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je serikali hawajui haya?? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwann wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria???

Nmeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurud navyo vibali vya kuish na kufanyia kazi lakin bado wamewafurusha ...

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi???

Yupo mwingine ambaye alkuwa akiish na mkewe, na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa msumbiji walimkatalia je sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudshwa na familia zao ikiwa wamekuja nzo??

Serikali ya Tz inawaogopa msumbiji kutetea Raia wao??

Rais wa msumbiji filipe nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria???

Vipi wawafukuze kama Mmbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema???

Tuna serikali tuna majanga???

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi rais wa nchi ataongea.....

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa???

Hakuna ofisa wa msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatzo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibtsha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tungane tusaidie wenzetu lazma tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.

Acha tuteseke tulipenda wenyewe!! Kiongozi wa nchi anayefurahia mateso ya watu wake ndani na nje (Sadist) tumemchagua wenyewe acha tuteswe acha! We only do not know we are all alone!!
 
Hatuna serikali nchi hii tuna watawala, kazi yao moja tu kupachika utawala wa kifalme,
Pamoja na kuwatisha..imekuwa kawaida sana kwa watawala kusimama na kuwatamkia watawaliwa meneno kama kukiona cha mtema kuni, tutawashughulikia..hakuna mtu wa kuwatia moyo wananchi kabisa!

Linapotokea tatizo kwa wananchi kila kiongozi anatafuta jinsi ya kuwatupia wananchi hao hao lawama!
 
Waache watutendee sawa sawa na unyama tuliowatendea wanyarwanda na warundi katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu nchini.

Sisi tuliwafukuza kama mbwa mwitu huku tukijineemesha kwa kugawana mifugo na mali zao,katika mkoa wa Geita(Bukombe),walioitwa wahamiaji haramu walikusanywa na kuwekwa kwenye maghala ya nafaka yaliyopo kijiji cha Mwalo pembezoni kidogo na ushirombo,watu wale walipoteza kila walichokuwa nacho,walibaki na viwiliwili vyao tu,sasa tunapotendewa yale tuliowatendea wenzetu tuwe wapole.

Kama hata hapa nyumbani viongozi wametugawa kwenye matabaka:kuna wenye nchi na wapinzani,unataka Mataifa jirani yatusaidieje?
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Huzuni sana na nchi yetu.....
 
Taarifa ya juzi ya Serikali ilisema uhusiano na Msumbiji ni mzuri na Watanzania walioko huko wafuate utaratibu!!!!!!
 
Back
Top Bottom