MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Niliishi India wakati flani na tulipata matatizo huko tukamfata balozi Jina kapuni....
Tulichoambulia matusi ya nguoni na dharau ya kufa MTU...
Siwezi kushangaa yanayotokea Mozambique hivi Leo.
Tatizo lina mwezi Govt yetu imetulia tu.
 
Usijitoe ufahamu. Mozambique ya Samora ndiyo ya sasa? Tanzania ya Nyerere ndiyo Tanzania ya Magufuli? Watu wanabadilika, misimamo inabadilika, nchi zinapata allies wengine. Ulitegemea best friend wa Tanzania angekuwa Rwanda?
Kwa hiyo tulipoteza raslimali watu, uchumi nk kwa sababu ya Samora Marchel na si kwa sababu ya taifa la Mozambique ??!!

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Niliishi India wakati flani na tulipata matatizo huko tukamfata balozi Jina kapuni....
Tulichoambulia matusi ya nguoni na dharau ya kufa MTU...
Siwezi kushangaa yanayotokea Mozambique hivi Leo.
Tatizo lina mwezi Govt yetu imetulia tu.
Balozi za Tanzania ni za ajabu popote Duniani yaani maofisa wa balozi wengi wana roho mbaya hawana utu pia ni wavivu kufuatilia kero na changamoto wanazokutana nazo watanzania, Mfano China kuna shida kubwa kuliko popote huko watanzania wanabambikiwa kesi wanaporwa mali wanatapeliwa wanafanyiwa Unyama wa kila Aina lakini balozi wa Tanzania hana msaada sana sana hutumika kuwakandamiza, sijui wamesomea diplomasia gani? au wamesomea unafiki? wengine huchukua Rushwa kama huko msumbiji wamechukua pesa kwa mzungu mwekezaji sasa wanawakandamiza watanzania eti ni wahamiaji haramu, watanzania wengi wana passport na vibali vyote lakini wameporwa mali zao wamebakwa na wengine kuuawa, cha ajabu balozi hajali hilo.
 
Hujaona walivyoenda kuwasaidia eeh? Ile ni hatua ya kwanza wamepeleka magari kusomba RAIA wao. Wanajipanga na season two..
Hawana mda wa kwenda kuwasaidia kupata mali zao wamekazania kuwasomba kama zege ili wafiche ushahidi, serikali ya Tanzania inaiogopa msumbiji kama nyoka cobra, ni Aibu Raia wamefanyiwa Unyama lakini wanakomaa kuwasomba badala ya kuwasaidia kupata haki zao.
 
TZ GOVERNMENT THIS IS A WAKE UP CALL!MSIPUUZE YANAYO WATOKEA WA TZ WENZETU MSUMBIJI! HAWA WATU TUMEPIGANA KWA AJILI YAO, TUMEWAHIFADHI HADI LEO WAPO WENGI TU NCHINI KWETU!THIS IS MORE THAN SERIOUS SOMETHING HAVE TO BE DONE NOW AND NOT LATER
Mkulu hajui hayo yy yupo busy na Wivu, chuki na Mali za Manji hana time na roho za watanzania zilizopotea huko msumbiji wala hajali hata wangeuawa wote, kwanza ni muoga anaiogopa serikali ya msumbiji, hata waziri wa mambo ya nje kachukua Rushwa anaitetea serikali ya msumbiji, ni Aibu kubwa.
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Kungekuwa na ndugu zake makonda, Lipumba, Msajili wa vyama au mwakyembe huko msumbiji alafu wafanyiwe Unyama huo nadhani zingetumwa ndege za kivita kulipiza kisasi, lakini sasa kwa kuwa waliokufa na kubakwa si ndugu zao hawana mda wa kuhangaika na chochote zaidi ya kuwasomba kama mchanga ili kupoteza ushahidi.
 
Hiyooo ndo Tanzania ya viwanda hewa haina huruma hata kwa watu wake tunaenda wapi mi hata sielewiiii
Hakuna cha viwanda wala nini pesa zote za Safari za nje wamepewa wanjanja wazitumie kuwakomoa kuwabambikia kezi za unga wale wote ambao ni Kikwazo kwa mkulu, mda mwingi anawaza visasi hajali kinachotokea msumbiji.
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Ni wakati wa kutawaliwa kibabe dunia nzima mkuu. Fuatilia vizuri utajua kinachotokea duniani.
 
Wananchi yatupasa kupaza saut zetu kwa pamoja kuwatetea wenzentu wa msumbiji kama vipi..

Serikali na wapi.zani wote maboya tuuu,mtu kama.lissu anasubili kujibu hoja za mkuu anaacha kupambana na.matatizo ya wananchi kama haya

Inafika muda tujue kwamba sisi wananchi ni maboss wao
 
Huo ndio msimamo wa serikali. Ukivunja sheria za nchi uliyoko na uadhibiwe kwa sheria zao na taratibu zao.

Tunafahamu adhabu za nchi na nchi hazifanani na pia kuna sera ya kubadilishana wafungwa

Una uhakika gani kama atahukumiwa kwa haki kwenye ya kigeni?
Je waliopo Mozambique wote wahalifu?kwa hiyo
Sitawaangusha
 
Habari Jf

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa.

Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?

Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??

Maofisa wa msumbiji wamekuwa wakifanya vitendo vya kikatili ikiwemo kuwapora mali zao, pesa, na hati za kusafiria.

Sikuridhika nliamua kufunga safari kwenda mtwara kuonana na wahanga.

Katika yote kilichoniumiza nlipofanya mahojiano na mwanamke ambaye rafiki yake kutoka Morogoro alokuwa akiishi Msumbiji kubakwa na maofisa wa Msumbiji mpaka kufa akiwa anawahishwa hospital huko Msumbiji.

Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia

Je, serikali hawajui haya? Mbona hawazungumzii lolote?
Kwanini wanaishia kuwakandamiza watanzania na kuwaonesha dunia watanzania wale hawakufata sheria?

Nimeweza kuona vibali vya wengine walofankiwa kurudi navyo vibali vya kuishi na kufanyia kazi lakini bado wamewafurusha.

Kama sheria hao wote wamevunja sheria za ukaazi?

Yupo mwingine ambaye alikuwa akiishi na mkewe na mtoto na mkewe ni mjamzito lakini alipohitaji kurudi na mkewe Tanzania maofisa wa Msumbiji walimkatalia.Je, sheria ipi inayoruhusu hayo??

Mbona wao wanarudishwa na familia zao ikiwa wamekuja nazo?

Serikali ya Tz inawaogopa Msumbiji kutetea Raia wao?

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.

Lakini watu hawa ambao wamesaidiwa na Tanzania wameshindwa kuagiza vikosi vyao wawarudishe kistarabu na kufata utaratbu bila kuvunja sheria?

Vipi wawafukuze kama Mbwa? Wamewafunga mahabusu bila kuwapa chakula siku tatu.

Wakawapakiza kwenye malori bila ya chakula wala mali zao.

Inasikitisha Mtanzania mwenzetu anabakwa mpaka kufa serikali haina inalosema?

Tuna serikali tuna majanga?

Wenzetu raia wao akiguswa tu hadi Rais wa nchi ataongea.

Sisi mbona hawathamini watanzania na kuwaonesha dunai raia wa Kitanzania wana makosa?

Hakuna ofisa wa Msumbiji alochukuliwa sheria mpaka sasa kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya Msumbiji.

Ofisa mmoja ambaye mama yake ni mtanzania na baba yake ni Msumbiji ameambia chanzo chetu kawaida na maofisa wa Msumbiji hufanya vitendo vya kikatili kwa wageni.

Ameongeza na kusema kuwa tatizo mabalozi wa Tanzania pia sio wakali kutetea raia wao bali kuwakandamiza.

Anazidi kusema kuwa anaumia sana kuona watanzania wenzake kwa wanayofanyiwa lakini hana mamlaka ya kuweza kuzuia.

Amethibitisha pia kuwa ni kweli mwanamke huyo wa kitanzania alibakwa na maofisa wa Msumbiji wapatao sita hadi saba kwa uchunguzi wake.

Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Inasikitisha sana kwenye ujinga na kuwashughulikia wapinzani kauli tata na zenye lugha kali huwa zinatoka mara moja lakini matukio kama haya yanayopaswa kuchukuliwa hatua za haraka anakaa kimya. Kifupi hatuna mtetezi wacha 2020 ifike tufanye yetu kwenye sanduku la kura
 
Niliishi India wakati flani na tulipata matatizo huko tukamfata balozi Jina kapuni....
Tulichoambulia matusi ya nguoni na dharau ya kufa MTU...
Siwezi kushangaa yanayotokea Mozambique hivi Leo.
Tatizo lina mwezi Govt yetu imetulia tu.
Mkuu unaogopa nini kumtaja huyu katibu Mkuu kiongozi si ndiye alikuwa balozi wakati ule. Safu imeshakamilika wote waliomo kwenye lile jumba hawana msaada sabb ya roho mbaya
 
Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania?
Inaafuata utaratibu sahihi kabisa.
Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu??
Hakuna hata raia mmoja wa nje aliishi kinyume na sheria tuliomrudishawao na shada la maua.Tunamfunga kwanza, kumlipisha faini na mengine hufuatia.
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alizaliwa Tanzania na kusoma Tunduru na kupata mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania.
Sultan Jamshid kazaliwa Zanzibar,baba, mama,babu,bibi wote wmezaliwa Zanzibar mbona sasa hivi tunasma sio kwao wala kuihusu Zanzibar na kumwita Mganda John Okello, Mmakonde Said Natepe ndio wenye haki Zanzibar watu ambao hawakuzaliwa wala kukulia Zanzibar. Sasa Nyusi kuzaliwa Tanganyika imekuwa nongwa? kuna maanisha nini? ndio awe kibaraka ?
Jamani tuungane tusaidie wenzetu lazima tujifunze kupendana serikali inahisi hawa watu sijui manyani sijui sio raia wao nashindwa kuelewa.
Ndio lazima tujifunze pale tunapowakamata watu wanaosadikiwa ni watu wanaishi kinyume cha sheria.Tukiwatendea haki, na tutakapo wasikiliza kilichowasibu na kuwatendea wema basi na sisi pia tutatendewa wema. Mara ngapi tunasoma kwenye vyombo vya Habari kuwa jirani huyu kakamatwa anaishi nchini kinyume na sharia na pengine anatoka nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lakini tunawashitaki, tunawafunga na kuwalipisha faini. Hayo hatuyaoni?
Tukio hilo liltokea usiku maofisa hao walivamia nyumba ya huyo mdada kisha kumbaka kwa zamu hatimaye akawa na hali mbaya hadi anakuja kupata msaada kupelekwa hospitali hali yake ilikuwa mbaya sana na kufariki dunia
Kama unao ushahidi usio na mashaka toa taarifa kwa Kamanda Sirro. Acha fitina zisio na mashiko na za maji taka. Tukijiuliza , waliorudishwa waliingia na kuishi kihalali nchini Msumbiji? Hilo si kosa la jinai?Kwa Msumbiji kuwasamehe kosa hilo na kuwashurutisha tu kurudi kwao bila ya kuwafungulia mashitaka imekuwa nongwa?
 
Back
Top Bottom