Dkt. Slaa: Rais ni mwajiriwa wa Wananchi, tumwandikie Mkataba wa kazi sio yeye atuandikie sisi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
20240226_181308.jpg
"Rais wa Tanzania tumemwajiri sisi Katiba ni barua ya ajira ambayo sisi ndiyo tunaopaswa kumuandikia siyo yeye atuandikie halafu atuambie nimeandaa Katiba ili niwatawale, huwa tunaingia kwenye vifungu vya Katiba hatusomi ule utangulizi wa kuwaonesha Watanzania kuwa wao ndiyo mabosi"

"Mambo yote ya nchi yanaanzia kwenye Katiba, maji yanatoka kwenye Katiba, elimu inatoka kwenye Katiba , afya inatoka kwenye Katiba ,barabara inatoka kwenye Katiba chochote kinachofanywa na Serikali kinaongozwa na Katiba"

"Katiba ikiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu ndiyo maana umeme hakuna na hakuna anayewajibishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba kesho Saa mbili asubuhi wananchi tuwe barabarani na mimi nitakuwa wa kwanza."-Dkt.Slaa.

Hayo yamesemwa na Dkt.Wilbroad Slaa mkoani Arusha katika maandalizi ya maandamano ya kesho.
 
Mzee mnafiki saana. Mbona zama za Magu hakusoma haya badala yake anakimbilia ulaya yeye na mke alopora.
Mbowe aache kupokea watu kiholela hii inaashiria kukosa msimamo!
Anasalimiana na mtu tunayemhisi saana alihusika na maumivu makalio ya LISSU??
Mbowe abadilike hii tabia sio,mtu hafai hafaii
 
View attachment 2917233"Rais wa Tanzania tumemwajiri sisi Katiba ni barua ya ajira ambayo sisi ndiyo tunaopaswa kumuandikia siyo yeye atuandikie halafu atuambie nimeandaa Katiba ili niwatawale, huwa tunaingia kwenye vifungu vya Katiba hatusomi ule utangulizi wa kuwaonesha Watanzania kuwa wao ndiyo mabosi"

"Mambo yote ya nchi yanaanzia kwenye Katiba, maji yanatoka kwenye Katiba, elimu inatoka kwenye Katiba , afya inatoka kwenye Katiba ,barabara inatoka kwenye Katiba chochote kinachofanywa na Serikali kinaongozwa na Katiba"

"Katiba ikiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu ndiyo maana umeme hakuna na hakuna anayewajibishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba kesho Saa mbili asubuhi wananchi tuwe barabarani na mimi nitakuwa wa kwanza."-Dkt.Slaa.

Hayo yamesemwa na Dkt.Wilbroad Slaa mkoani Arusha katika maandalizi ya maandamano ya kesho.
Tunajuwa kabisa DR Slaa ataendelea kuongea na kuokosoa kadri ya matakwa ya wanaompa hela.

Slaa ni sawa na malaya wa Bar ya Kimboka pale Buguruni, hutoka na mwanaume yeyote atakaye mpa hela.

Kesho CCM wakimpa hela atawafagilia pia
 
View attachment 2917233"Rais wa Tanzania tumemwajiri sisi Katiba ni barua ya ajira ambayo sisi ndiyo tunaopaswa kumuandikia siyo yeye atuandikie halafu atuambie nimeandaa Katiba ili niwatawale, huwa tunaingia kwenye vifungu vya Katiba hatusomi ule utangulizi wa kuwaonesha Watanzania kuwa wao ndiyo mabosi"

"Mambo yote ya nchi yanaanzia kwenye Katiba, maji yanatoka kwenye Katiba, elimu inatoka kwenye Katiba , afya inatoka kwenye Katiba ,barabara inatoka kwenye Katiba chochote kinachofanywa na Serikali kinaongozwa na Katiba"

"Katiba ikiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu ndiyo maana umeme hakuna na hakuna anayewajibishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba kesho Saa mbili asubuhi wananchi tuwe barabarani na mimi nitakuwa wa kwanza."-Dkt.Slaa.

Hayo yamesemwa na Dkt.Wilbroad Slaa mkoani Arusha katika maandalizi ya maandamano ya kesho.
dr padre slaa amechoka sana,
diaspora na vijisenti vyao wanamchosha zaid mubaba wa watu, hadi anatia huruma kujikaza kusisitiza na kulazimisha aeleweke kwa wanainchi lakin wapi....

ni ngumu kuaminika...
ushindwe kumudu sakramenti ya daraja takatifu, ushundwe kumudu sakrament ya ndoa atakuamini nani ati utamudu kuwa nkuu wa nchi? huko nako si anaweza kuchepukia huko juu sasa...
 
Ni kweli kabisa 🌈, una dukuduku jingine kwa msaada zaidi?
 
Back
Top Bottom