Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

scopio

Member
Aug 24, 2012
47
5
inaonekana vyuo hivi vinaubora kwani wanafunzi wanakazi ya ziada ktk kuhakikisha wanapata GPA zenye ubora pia sapu na disco zipo nje .so tusome huku tukimweka mungu mbele.
 
du tokaudsm hadi sua unaatend kote acha ushamba kwani uliambiwa ukienda chuo unalala!!!!!!!!?:msela:
 
Ukweli anaujua mwanafunzi wa chuo husika.Na kigumu kwako, kinaweza kuwa ni chepesi kwa mwenzio.
 
ugumu wa chuo ni ww mwenyewe panga ratiba vizuri uone mambo yalivyo mteremko.....hata sisi wa UDOM mbOna mambo magumu
 
watu wazembe wazembe kama kina perry wenye uelewa mdogo hata ban ya mwaka mzima ni halali yao manake hamna jipya wanallolichangia humu jf by,mpigamsuli

sasa mkuu,kama sio kunitafuta uchokozi ili nipigwe ban ni nin hki unanikashifu?
 
Msuli wa chuo sio mgumu kiivo mdogo wangu...
Nakumbuka kabla sijaenda chuo my dad alikuwa ananiambia ye alikuwa hasomi weekends...nkamuona ananidanganya.
Nlipofika mm...nkagundua kumbe ni jambo la kawaida kabisa..naweza kukuambia tangu nianze chuo sijawahi kushika kitabu on a Sunday except labda siku ya mtihani (UE not test).
Ila uwe tayari ku attend all lectures n seminars...
Ol th best kijana..inawezekana.
 
Back
Top Bottom