Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
mkuu karb, tukumbushe kosa ulilofanya perry
kuna nyau mmoja hvi alinichonjea kwa mods.
mkuu karb, tukumbushe kosa ulilofanya perry
duh noma sanakuna nyau mmoja hvi alinichonjea kwa mods.
sifa itawamaliza,yani mnaona wanafunzi kudisko makusudi kutokana na chuki ya malecture wao ni fahari?
cha kushangaza ni wengine kubaki kua tutorial na wao pia kuendeleza system ile ile ya uonevu.
sasa mkuu,kama sio kunitafuta uchokozi ili nipigwe ban ni nin hki unanikashifu?