Msukuma na injini kiuno mjini

Msukuma na injini kiuno mjini

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
wasukuma wamevamia mjini aiseee.....ila huyu kiboko maana baiskeli yake ina uzito wa tani 1
3.jpg
 
Umejuaje ni Msukuma?
...suruali nyekundu---mjini hatuvai suruali nyekundu
miwani ya kishamba shamba....born town hakuna mambo hayo yapo usukumani wakishauza pamba...
....cheki baskeli kaweka side mirror za bedifodi..

....alafu ukitaka kujua msukuma utamuona anajifanya mzalendo......angalia bendera ya taifa.....

afu sifa ya wasukuma wakiendesha baskeli lazima wapige mluzi.....mchizi hapo anaimba wimbo wa taifa kwa mluzi....
 
Hilarious!
 
Kwani Msukuma chio ntuu

Ila ujumbe ndio sijui unakwenda na wakati aua lah
 
Yaani Yo Yo bila kusema msukuma halali
Ntakusukuma sasa hivi!
 
Huyu mkenya Yo Yo ana vituko sana, naona Nyani Ngabu kimyaaa!! kweli wasukuma wameniacha hoi halafu pale kwenye baiskeli yake ana chupa ya maji safi ya kwenda kuchukulia maujiko kwenye Chagulaga
 
Yo Yo Bana, naona anapishana na ukweli.

Ni kweli kabisa Box la Mnyororo limeandikwa IRINGA.

Msukuma na Ukristo wapi na wapi?
wasukuma wamevamia mjini aiseee.....ila huyu kiboko maana baiskeli yake ina uzito wa tani 1
3.jpg
 
Shida yao huwa hawafuati mkono wa kuendeshea, wako busy na story tu. Sasa itokee semi imenyooka ndo utauona mtafutano wao!!!!!!!
 
Msukuma gani ana mwili kama wa mzaramo?!

Mwili wa ubwabwa huo,na wala si wa dona!
 
wasukuma wamevamia mjini aiseee.....ila huyu kiboko maana baiskeli yake ina uzito wa tani 1
3.jpg

Anawahi ibada huyo
Huyo hapo wewe yo yo hata uwe na mountain bike humkamati
 
Back
Top Bottom