Msukuma na injini kiuno mjini

Msukuma na injini kiuno mjini

Yo Yo Bana, naona anapishana na ukweli.

Ni kweli kabisa Box la Mnyororo limeandikwa IRINGA.

Msukuma na Ukristo wapi na wapi?
arifu hivi huwajui mangosha kwa ujiko?? hiyo iringa kaandika makusudi......ukifika meatu pale mwanhuzi wasukuma wameandika baskeli zao AIR KARATU...wenyewe karatu ndio dream yao.....
ila totozi zao tu ndio nawasifu....nzuuuuri sana,adabu 100%......
 
Wewe una bifu na Wasukuma kwa sababu Nshoma kakupiga kibuyu. Loser!
 
Hiyo ndio raha ya mavuno. kwanini ajipe tabu kuwazia gari?
 
Wewe una bifu na Wasukuma kwa sababu Nshoma kakupiga kibuyu. Loser!
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....
 
baiskeli.jpg
 
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....

kwa hilo nakupinga live,watoto wa kisukuma wako poa sana siyo kama totoz za kichaga miguu ka spoke za baiskeli
 
Huyu mkenya Yo Yo ana vituko sana, naona Nyani Ngabu kimyaaa!! kweli wasukuma wameniacha hoi halafu pale kwenye baiskeli yake ana chupa ya maji safi ya kwenda kuchukulia maujiko kwenye Chagulaga

huyo ni kinega amekuja kwa style mpya baada ya makubaliano ya Ruge na Sugu.
 
Back
Top Bottom