Bebii pamoja na kwamba hii thread imenigusa ila nashukuru umenifanya nicheke lol, ukiona unamchukia hivyo ujue bado unampenda sana tu samahani kwa hili, ila siku upendo ulionao kwake ukikutoka utashangaa humchukii wala nini utakua unamuona wa kawaida tu..
mwajiri wak yupi anavuta bangi jf? najitoa mi na bangi tofauti nieleweshetunafurahi sana kuona kwamba hata kama sisi mods hatupo around, vijana mnajadili mada bila mikwaruzano wala kuenda offu topik, hii imenipa moyo sana na nitashauriana na mods wenzangu tuanzishe JF nyengine zikuwepo 2. Hivyo basi Kwa niaba wa ya waifu (ambae juzi kwa bahati mbaya ameibiwa handbag yake), na kwa niaba ya jirani yangu (ambae alipima ukimwi juzi akaonekana anao), na kwa niaba ya mwajiri wangu (ambae anavuta bangi kabla breakfast) napenda kuchukua nafasi hii kuwashkuru nyote. Mbarikiwe sana
bek to topik: muda hautoshi kucomment.
nawahi press conference
Yaani we acha tu, Mbu baba leo umeamkia wapi? yaani hii thread lol kama alivyosema the boss kwamba anadhani ashakua msukule bora ye anadhani mi ndio nishakua msukule kabisaaaaaaaaaa yaani mtu anakuacha kwa mbwembwe zisizo mfano halafu mambo yakienda ndivyo sivyo huko anaanza usumbufu, kibaya kama mmeshazaa ndio kizaa zaa kinaanzia hapo.
1. Mmama anatishia mtoto anaumwa n.k kumsumbua baba
2. Baba nae anatishia kukunyang'anya mtoto kisa unajifanya uko busy so hata mtoto wake huwezi pata muda wa kumwangalia.
Ngoja niishie tu hapa ila inauma sana sana sana kama yamekukuta, kwa kifupi niko natumika kama mzukule sasa na bado sijajua nitajinasua vipi.
kwa kweli inakera sana asee.
..
...leo tujadiliane hii kitu emotional rollercoaster. Pale mwenza wako (Psychological Abuser) anavyoutumia udhaifu wako. "Sleeping with the Enemy" ni sinema mojawapo inayotoa mfano mzuri wa hili.
Tujadiliane Ex- wife/husband/partner anapoendesha hisia zako atakavyo; -Swahili Slang- 'kuwekwa kidoleni,' 'kushikwa pembe,' 'kuwekwa mkononi,' etc na athari zake, kwa muda mfupi na muda mrefu.
Ndo maana namuambie VOR kuwa hapo ni kuwa hajajijua kuw anatumiwa haijalishi hata kama mapenzi au mlianchana bila kupenda kwenu kile kitendo cha wewe kuwa mtumwa wa kile anachokitaka tayari ni msukule
Mbu amenikumbusha kitu........tatizo maswali yamekuwa mengi kuliko majibu.........labda niulize pamoja na usumbufu anaopokea vipi kuhusu hisia zake kwakwe bado anampenda?/au anahisi anamuonea huruma na si mapenzi yaliyomo ndani ya moyo wake.
naamini kuna watu wana ugonjwa wa kupenda sio wote ieleweke,kuna watu huwa wanakuja kwenye maisha yetu na huwa si rahisi kuwaondoa .......kwangu huwa nauita ugonjwa sijui kama niko sahihi kwa sababu hata mie ninao ..........mahusiano yatavunjika lakini upendo wangu hautafutika kwake hapo ndipo upande wa pili hutumia hiyo nafasi kucheza na wewe.
jingine ni ubinafsi tulioumbwa nao wanadamu hutaki kumuona akifurahi/kafanikiwa/kapendeza au ana mahusiano mengine kwake yeye ni kama ushindi.
Ohhh Nooooo!!! Nyamayao pole dada'ngu jamani...lohhh...
ila nawe kwanini unalala na simu-"On" wakati mumeo na watoto wapo hapo kando?
Unasubiri simu ya nani?
Kwanini hu mute hiyo simu kama wasiwasi wako unaweza kosa simu za ndugu?
Sikukusudia kukutibua Pole jamani, kunywa maji baridi utapoa...pole mydear.
Mkuu hapa hakuna mtu anayekushikia Bunduki..., matakwa yake unayo haki ya kuyakataa na kuyapinga..., kutokuyakataa kwako inamaanisha yafuatayo:-
Kwahiyo mkuu tutaona kwamba hakuna mtu ambae hajui kinachotokea lakini kwa njia moja ama nyingine anachukulia poa (labda tu kwa wale ambao hawapendi na hizi attention zinakuwa usumbufu kwao)
- Unapenda hivyo anavyokusumbua na mwisho wa siku labda upo radhi mrudiane
- Ni Bughuza anakusumbua na hapa una kila haki ya kutokupokea simu zake au akikuita wewe kukataa
- Wewe ni mtu wa huruma na kila anapopata shida upo tayari kumsaidia kwa kila kitu without crossing the line (tenda wema uende zako usingoje kurudishiwa)
Kwa kumalizia ni kwamba kuachana sio kujenga uadui na mnabaki kuwa marafiki na rafiki wa kweli hatafanya kitu ambacho kinaweza kikabomoa kwako..., (hata kama ni attention seeker atakachofanya ni itakuwa ni kukupa signal lakini sio kupiga simu usiku wa manane akijua kwamba wewe mke wako yupo hapo) sababu in so doing huyu atakuwa ni mchawi ambae hana utu,
cpo na watoto ndio sababu kubwa cm haziwezi kuwa off, na hata yeye hatakubali cm ziwe off kwa sasa coz ameshakuwa na kawacwac fulani, anahakikisha cm zote(zake/zangu) zipo on na mahali pa1, nikisema umenitibua ni kweli kabisa, bado kuna vuguvugu ya call ya juzi juzi, nipo kwenye wakati mgumu jamani.....
Mkuu, hapo u spoke my past few weeks lyf, I was xactly as u described., was mor than mtumwa, it hurt me one day I called her two times n she ddn' pick up my call instead she ended, later when I called she picked t up n asked why she was cuttin my calls she said kwamba she just decided to as the way she decided to pick up that call. I was so so so hurt, i felt kudharauliwa n humiliated to th max coz of my feelings. I then asked 2 meet with her ili tuongee face2face, what she answered made me to find my way out thou it was nearly impossible. I decided to start my new life out of her n thanx God in few weeks I started to 4get her. Yday she called me n told me kwamba there was a deal concerning my career n when I asked her why she decided to give me that deal she said coz she cares for me and she'd love if I'll be doing the same. Now ts lyk amenitonesha kidonda kilichokuwa kinakaribia kupona. Its so painful when X brings back th gone memories.Utumwa na utegemezi wa hisia!Unapompa mtu mamlaka ya kukuamulia ujisikieje ni hatari sana kwani wewe ni mtumwa kwake,akiwa na hasira roho juu,asipopokea simu unajistukia,ukimpigia sim asipocheka kwenye mazungumzo yenu inakuwa kazi,n.k....Kama yanakutokea hayo na mengine ya kufanana na hayo jua hayo sio mapenzi bali utumwa,Upendo wa kweli pale unapokuwa na maamuzi yako mwenyewe namna unavyotaka kujisikia,nje ya hapo ni matatizo!
Pamoja na yoote mna matatizo ya kuaminiana,ni kazi kuishi kama mna tatizo hili tena kwenye mazingira haya!cpo na watoto ndio sababu kubwa cm haziwezi kuwa off, na hata yeye hatakubali cm ziwe off kwa sasa coz ameshakuwa na kawacwac fulani, anahakikisha cm zote(zake/zangu) zipo on na mahali pa1, nikisema umenitibua ni kweli kabisa, bado kuna vuguvugu ya call ya juzi juzi, nipo kwenye wakati mgumu jamani.....
...lol...hilo la kutojijua unatumika au kutumiwa ndio "MSUKULE" wenyewe huo...inabidi mtu wa aina hii aombewe na kumwagiwa maji baridi sikioni!
...lahaula, Gaga hapo penye red unatugusa wengi...ila hizo feelings ni ngumu kuzielezea kama zina maanisha mazoea, huruma, au kumbukumbu,....lakini sio mapenzi. Kasheshe ni kumpata Mwenza ambaye nae atalielewa hilo.
...VoR,...umeiweka vizuri hii, hasa hapo penye red kiasi kwamba nimeukumbuka msemo wa "Screw Driver" -MwanajamiiOne.
...Maskini Maty, pole sana. Hatua ya kwanza tayari unaipitia sasa hiyo ya kukukera sana, ...kama alivyogusia AshaDii, time is a healer. Ni juu yako na ipo ndani ya uwezo wako ku disconnect hizo emotional attachments.
Kama ulivyogusia la mtoto, mkishazaa ni kasheshe. Hata akikunyang'ang'anya mtoto...ndio yale yale ya kupigiwa simu uende haraka, mtoto anaumwa...unamuacha kitandani mkeo/mumeo unakimbilia kwa Ex wako...kwani ukienda na mkeo/Mumeo, Ex-wako ananuna! Balaaa tupu!
Faith..tamaduni..mila .. etc... Mwenza wako anakudhalilisha ..anakupiga..lakini wazee, wachungaji na jamii inakupa moyo.."ndoa ni uvumilivu" zidisha maombi..yaani utabaki msukule..hadi maombi yako yawe ya kweli..
Uchumi na kukosa kujiamini..yaani ukifikiri kitachofuata ukitoka kwenye mahusiano kina kuacha hoi...utabaki unaogopa..na utakubali kukumbatia msukule bila kujijua....Hii ni moja ya weakness za binadamu ambazo ni`kuogopa changes au kuogopa ku-take risk!
Thanks again bro, Nawakilisha hayo....
...lol...Chauro, ndio huo ninaoita "ugonjwa" wa kujitakia!...kupenda usipopendwa.
Yaani pale unapompenda mtu, yeye anakufutia tope la miguu, anakupiga na chini kama pweza,
almuradi anakutoa thamani mpaka unajiona kweli hustahili kujipenda, kupendwa wala kumpenda yeyote.
Baada ya kujitoa kwake na kuanza maisha mapya, anakujia na usanii ambao ni pamoja na kukukumbushia
yote mazuri mliyopitia, i.e picha, matukio mbalimbali, nk...akiona hushtuki na hilo anakuja na gear ya kukupa sababu
umuonee huruma, kwani enzi hizo akipiga chafya tayari wewe mbio na viksi, maji moto, chai ya tangawizi, nk unambembeleza.
Akiona na hilo hushtuki nalo, anakupigia simu time zile anazojua utakuwa na Mpenzi/mume/mke wako mpya 'kukuonyesha' bado anauwezo ku control maisha yako... "msukule" wake!
With due respect i beg to differ with you hapo kwenye blue mkuu.
She knows exactly u haveyour own life. She knows exactly that you have a family and may be a new wife. She knows exactly kwamba muda wa usiku mara nyingi you will be with your family and with your wife. Kwa nini akupigie simu saa sita za usiku hata kama kuna matatizo yametokea. What will you do then kama ameona majambazi yanatembea kwenye dirisha lake. What will you do then kama unapigiwa simu usiku wa manane kuambiwa kuwa kuna mtu amemhurt moyo wake.
yeah hujashikiwa bunduki kukubali upokee simu zake but she is the person you know and she is not your enemy huwezi kukaitaa kupokea simu zake. Inakuwaje zinapokuwa kero sasa kutaka kukuharibia wewe na mwenza wako. Je umfanye adui yako kutopokea simu zake au uwe kila mara unareject call zake. And to your wife what will happen to her kila mara atakaposikia simu na unaireject will you raise an alarm to her kuwa kuna something fishy kinaendelea.
Mi nakwambia sijuii Mbu leo amewaza nini kuja kututibua mashetani hapa, ninachoshukuru kwa upande wangu sina mapenzi nae kabisaaa namuona kama kaka yangu, kwa kweli kwa hili namshukuru Mungu. Ila ndio ningekua bado nampenda nahisi ningeteseka sana kwa kweli kwani ameshafanya kila aina ya mbinu, sasa amebaki kunitishia upuuzi tu hovyo kabisa.
Mkuu hapa hakuna mtu anayekushikia Bunduki..., matakwa yake unayo haki ya kuyakataa na kuyapinga..., kutokuyakataa kwako inamaanisha yafuatayo:-
Kwahiyo mkuu tutaona kwamba hakuna mtu ambae hajui kinachotokea lakini kwa njia moja ama nyingine anachukulia poa (labda tu kwa wale ambao hawapendi na hizi attention zinakuwa usumbufu kwao)
- Unapenda hivyo anavyokusumbua na mwisho wa siku labda upo radhi mrudiane
- Ni Bughuza anakusumbua na hapa una kila haki ya kutokupokea simu zake au akikuita wewe kukataa
- Wewe ni mtu wa huruma na kila anapopata shida upo tayari kumsaidia kwa kila kitu without crossing the line (tenda wema uende zako usingoje kurudishiwa)
Kwa kumalizia ni kwamba kuachana sio kujenga uadui na mnabaki kuwa marafiki na rafiki wa kweli hatafanya kitu ambacho kinaweza kikabomoa kwako..., (hata kama ni attention seeker atakachofanya ni itakuwa ni kukupa signal lakini sio kupiga simu usiku wa manane akijua kwamba wewe mke wako yupo hapo) sababu in so doing huyu atakuwa ni mchawi ambae hana utu,
With due respect i beg to differ with you hapo kwenye blue mkuu.
She knows exactly u haveyour own life. She knows exactly that you have a family and may be a new wife. She knows exactly kwamba muda wa usiku mara nyingi you will be with your family and with your wife. Kwa nini akupigie simu saa sita za usiku hata kama kuna matatizo yametokea. What will you do then kama ameona majambazi yanatembea kwenye dirisha lake. What will you do then kama unapigiwa simu usiku wa manane kuambiwa kuwa kuna mtu amemhurt moyo wake.
yeah hujashikiwa bunduki kukubali upokee simu zake but she is the person you know and she is not your enemy huwezi kukaitaa kupokea simu zake. Inakuwaje zinapokuwa kero sasa kutaka kukuharibia wewe na mwenza wako. Je umfanye adui yako kutopokea simu zake au uwe kila mara unareject call zake. And to your wife what will happen to her kila mara atakaposikia simu na unaireject will you raise an alarm to her kuwa kuna something fishy kinaendelea.
Sio uadui yes na wala hamjaachana kwa uadui but huoni yeye anajijengea mazingira ya wewe kumfanya adui na ukimuona sehem umkwepe kwa ajili ya usumbufu wake huo.
Mkuu, hapo u spoke my past few weeks lyf, I was xactly as u described., was mor than mtumwa, it hurt me one day I called her two times n she ddn' pick up my call instead she ended, later when I called she picked t up n asked why she was cuttin my calls she said kwamba she just decided to as the way she decided to pick up that call. I was so so so hurt, i felt kudharauliwa n humiliated to th max coz of my feelings. I then asked 2 meet with her ili tuongee face2face, what she answered made me to find my way out thou it was nearly impossible. I decided to start my new life out of her n thanx God in few weeks I started to 4get her. Yday she called me n told me kwamba there was a deal concerning my career n when I asked her why she decided to give me that deal she said coz she cares for me and she'd love if I'll be doing the same. Now ts lyk amenitonesha kidonda kilichokuwa kinakaribia kupona. Its so painful when X brings back th gone memories.
Mkuu kuna watu sio considerate na wako selfish (yaani wenyewe wanajiangalia wenyewe na hawajali wenzao) sasa kama rafiki yako yupo hivi inabidi umuelewe, now mimi hata partner wangu akipigiwa simu kwamba EX wake ameingiliwa na majambazi sitakasirika, tena ndio nitatoa msaada wa kwenda kumsaidia sababu ndio ubinadamu; lakini kama anapiga simu anadanganya majambazi yamemuingilia wakati ni uongo basi huyo ni mchawi na huenda urafiki wetu ukaisha sababu hanitakii mema
Mkuu action zake zita-determine kama yeye ni rafiki au adui..!! kama ni kawaida yake kupiga simu usiku na kunisumbua bila sababu basi atanifanya niache kupokea simu zake, na kama huwa ananidanganya basi atanifanya niache kumuamini au kumsikiliza...., Mkuu "we are what we are" kama atachukulia urafiki wetu for granted huenda akanipoteza kabisa..., kama hatukuweza kuafikiana kama boyfriend/girlfriend na tukaachana unadhani itakuwa tabu kuacha kuafikiana kama marafiki ?, unajua kila relationship in price yake na kama mtu ata-abuse upole na consideration ya mtu na kumfanya kama mjinga maybe she/he does not deserve any attention na kwa kujenga nyumba yako vizuri inabidi umwambie na mwenza wako ili ajue.