Mbu.....hiyo ya kunical na no niczozijua coz anajua ya kwake cwez kupokea(leo pia amecal na no nicyoijua) ndio inanikera zaidi zaidi, kuna cku alinical nipo na msukuma tunaelekea kuwajibika, unajua ile mtu anaanza na salamu ndefu maelezo mengi na hujamjua bado, unabakia unamuuliza mwenzangu nani, anakuuliza/eleza cjui nn na nn na nn, msukuma pembeni anahic unaongea kwa wacwac, inaniletea shida sana sana, unakacrikiwa kucpo na lazima..na maswali yacyo na lazima...anakuharibia cku kabisa......kweli inaudhi sana.
Mimi sipendi kuchezeana akili...yani mtu mmeshaachana bado anakusumbua tena mwingine makusudi kuona kama bado unamfeel au utachanyikiwa vipi!!
Salamu mara moja moja siyo mbaya...
Pole sana mkuuduh... naweza kuwa nimeshakuwa msukule?
VoR mybrother you never learn ee? tunazungumzia emotional roller coaster hapa, kwamba nia na madhumuni ya huyo anayekufanyia hivyo anajua ulimpenda sana, akakutumia ipasavyo na anaujua udhaifu wako.
Kwakuwa mmeachana, anatumia udhaifu ule ule [kwamba anajua ulimpenda sana,] kuamsha hisia zako -si za mapenzi- ila huruma ambayo anajua itazaa tena mapenzi akutumie tena kukuumiza. Learn bro, it's a circle. Hayo si mapenzi...it's Emotional Roller coaster- "Msukule!"
Mbu naona VOR hajajua kuwa hapa unatumika na unatumiwa. Kuseek attentio kwake sio kwamba hajui hilo anajua fika kuwa mliachana na kila mmoja ana maisha yake na kila mmoja ana mwenza wake may be ila anakutumia tuu. Na anajua ni wapi atakupata na wapi ashike karata yake na aiplay vipi
Inashangaza sana mtu mliachana tena maybe yeye ndo alikuacha anaanza kukwambia mtoke aunt ooh mama mgonjwa so what over is over usidanganyike ndugu
Utumwa na utegemezi wa hisia!Unapompa mtu mamlaka ya kukuamulia ujisikieje ni hatari sana kwani wewe ni mtumwa kwake,akiwa na hasira roho juu,asipopokea simu unajistukia,ukimpigia sim asipocheka kwenye mazungumzo yenu inakuwa kazi,n.k....Kama yanakutokea hayo na mengine ya kufanana na hayo jua hayo sio mapenzi bali utumwa,Upendo wa kweli pale unapokuwa na maamuzi yako mwenyewe namna unavyotaka kujisikia,nje ya hapo ni matatizo!Inakuwa ngumu sana kila siku wewe ni kujustfy hapana ilikuw asalam tuu au ilikuwa ananiambia kuhusu ugonjwa au habari za mtoto. Sasa iwe kila siku. Mwenza wako lazima nae atadoubt kuwa kuna something fishy kinaendelea sio salam tuu
Wakuu in life ukiangalia sana we are all using each other kwa jambo moja ama lingine... now former President Bush kuna siku alisema...
"Fool Me Once, Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me"...., hapa hakuna mtu aliyefungwa kamba kama unajua kwamba mtu alikuumiza alafu baadae unampa chance ya kukuumiza kosa sio lake ni lako....
Na sio kweli kwamba relationship zote zilikwisha sababu ya kuumizana nyingine ni sababu tofauti zilizopelekea nyie kuachana.. kwahiyo kama utakubali mrudiani na itakufanya uwe na furaha hiyo ni risk utakayochukua..., Kama utapenda the High kwenye rollercoster kuwa tayari kuvumilia the Low....
mimi hata afe yeye siendi i hate him so very much
VOR you might not gave her a chance to seek that attention from you ila analianzisha mwenyewe. Hili la kuwa mliachana may be kwa fault ambazo hazikuwa zenu na kama zikimalizwa mnaweza kurudiana hilo lipo ila sasa si kwa njia ya kutatuta kumfanya mwenzako kama msukule yaani kila time awe anakuwaza wewe. Awe anakufikiria wewe awe anakuona machoni mwake kila time. Hapo sasa unamuumiza mwenzako na unamfanya mtumwa pasipo kutarajia. Kama ni kukutafuta mpe nafasi ya yeye kufikiria na awe na nafasi ya kukutafuta mwenyewe sio kumfanya awe mtumwa wako wakati bado ana his own life
Chauro, yamekukuta wapi tena?? i thought wewe bado mdogo??
Mbu... ngoja nipate dinner leo nipo uhindini ntarudi badae kidogo kabla hujalala
Mkuu sometimes its a "means to an end"..., the end justify the means... kwenye upendo watu hutumia njia zote (sio kwamba nina-advocate hii tabia chafu) lakini that why nikasema kama the feeling is mutual then maybe msingeachana in the first place..
Na bila kumpa attention mwenza wako na kuonyesha kwamba bado unampenda atajuaje...? (ofcourse kama anasingizia mtoto mgonjwa alafu ukifika mtoto mzima am sure utapata message) na baada ya hapo the ball is in court either uamue kusuka ama kunyoa
kweli simpendi haata kidogo upendo ushanitoka nachukia tu vile ananisumbua sijui ananidai nini mwenzanguBebii pamoja na kwamba hii thread imenigusa ila nashukuru umenifanya nicheke lol, ukiona unamchukia hivyo ujue bado unampenda sana tu samahani kwa hili, ila siku upendo ulionao kwake ukikutoka utashangaa humchukii wala nini utakua unamuona wa kawaida tu..
Mbu naona VOR hajajua kuwa hapa unatumika na unatumiwa. Kuseek attentio kwake sio kwamba hajui hilo anajua fika kuwa mliachana na kila mmoja ana maisha yake na kila mmoja ana mwenza wake may be ila anakutumia tuu. Na anajua ni wapi atakupata na wapi ashike karata yake na aiplay vipi
Ukiona ex wako anakuendesha na bado unaingia line ujue bado kuna ka feeling fulani unacho juu yake,kuhusu kuzaa nafikiri ukiwa umefanya yanayohusu mtoto ipasavyo na kuhakikisha unamwona mara kwa mara mwanao haezi kukuita ovyo usiku wa manane coz utakuwa labda umemuona mtoto mchana na kujua afya yake,so akikuita usiku utamjibu mkato tu,tutaonana kesho,kuna wanaume wengine huwa hawna msimamo kabisa ukiwa na msimamo from begining sidhani kkama atathubutu kukuyumbisha
Wakuu in life ukiangalia sana we are all using each other kwa jambo moja ama lingine... now former President Bush kuna siku alisema...
"Fool Me Once, Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me"...., hapa hakuna mtu aliyefungwa kamba kama unajua kwamba mtu alikuumiza alafu baadae unampa chance ya kukuumiza kosa sio lake ni lako....
Na sio kweli kwamba relationship zote zilikwisha sababu ya kuumizana nyingine ni sababu tofauti zilizopelekea nyie kuachana.. kwahiyo kama utakubali mrudiani na itakufanya uwe na furaha hiyo ni risk utakayochukua..., Kama utapenda the High kwenye rollercoster kuwa tayari kuvumilia the Low....
Yaani we acha tu, Mbu baba leo umeamkia wapi? yaani hii thread lol kama alivyosema the boss kwamba anadhani ashakua msukule bora ye anadhani mi ndio nishakua msukule kabisaaaaaaaaaa yaani mtu anakuacha kwa mbwembwe zisizo mfano halafu mambo yakienda ndivyo sivyo huko anaanza usumbufu, kibaya kama mmeshazaa ndio kizaa zaa kinaanzia hapo.
1. Mmama anatishia mtoto anaumwa n.k kumsumbua baba
2. Baba nae anatishia kukunyang'anya mtoto kisa unajifanya uko busy so hata mtoto wake huwezi pata muda wa kumwangalia.
Ngoja niishie tu hapa ila inauma sana sana sana kama yamekukuta, kwa kifupi niko natumika kama msukule sasa na bado sijajua nitajinasua vipi.
kwa kweli inakera sana asee.
Mbu....nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu but nadhani jamaa kajipanga kabisa kuniharibia, unawezaje kumcal mke wa mtu saa 6 ucku? ukipokea ukijua ni yeye unakata, kasheshe inaanzia hapo, matatizo matupu, Mbu cjui umenitibua na hii thread nimeckia hacra ghafla.