Mssad kwa anayejua

Naupenda sana huu wimbo.

 
Hahahaha partner yaani unataka kupata attention kwa stahili hiyo jamani! We hapa attention ipo tu wala usijali.......... "NO ONE LIKE YOU PARTNER"

SINIFANYE NIKAPAA SASA!kwa hii mineno mitamu KING'sti alikuwa ananibishia kuhusu mimi kutofanana na yeyote kwako .
 
Last edited by a moderator:
Kaaah jamani usinigombeshe...!!
Ndo nshampenda Erickb52 hata kama anasukuma mkokoteni.
Lakin kwani haya yote ni juu ya nin?!
Chocs hivi hujui Erickb52 ni mshirika wa papaa flan hivi,huoni swaga zake ni za kipedeshee chenji kwota?
 
Last edited by a moderator:
Kaaah jamani usinigombeshe...!!
Ndo nshampenda Erickb52 hata kama anasukuma mkokoteni.
Lakin kwani haya yote ni juu ya nin?!

juu ya nini? hujui bishanga anatafuta mchumba chickenspring wa kumshtuashtua
 
Mmmmmmmmh Bishanga usinidanganye ndege wangu akapeperuka buree
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Usijali partner King'asti si unajua muda mwingi anaspend kule mitaa ya nanihii!
kwi kwiiii kwi!
asavali na we umemshtukia!
leo babake kafanya declaration kuwa ni simba mzee!
sasa anakomaaje kubishana na watu kudhihirisha babake Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…