Masikini wee.....!!!!!!!!Ndio nini hiyo kibabu?
Masikini wee.....!!!!!!!!
Kuna wimbo fulani sijui aliyeuimba ila huwa una mchanganyiko wa nyimbo nyingi za kiafrica na umeimbwa kwenye style ya zouk. Anayejua jina lake au aliyeuimba please msaada.
partner M'Jr kama BAK haujui huo wimbo basi tena!Nimeng'aa macho Mkuu :dizzy:
Mkuu natumaini utakuwa umewahi kuusikia ila tabu ni jina lake tu, ila ni zouk fulani limechanganywa nyimbo kibao kama Mario ya Franco, Misounwa ya Monique Seka, Eswiyo wapi ya Mbilia Bell na nyingine nyingi...........inabidi nifanye uharamia tu nikatafute jina lake kwa wachoma cd wa Stand hapoNimeng'aa macho Mkuu :dizzy:
mi nikajua una partner mwingine siku hiz!Partner nimekumiss sana asee, nimepotea siku hizi majukumu yamenibana hapa niko Arusha na wote huku wamenitosa ndio maana natafuta hizi burudani
Mbona unakuja kwa ukali hivyo? Taratibu ndio mwendoMasikini nini?
mmh nahisi kusingiziwa mimi...
Nimeng'aa macho Mkuu :dizzy: