Msosi wa Rhapsody's DSM

Msosi wa Rhapsody's DSM

Yote ya nini hayo? Chakula cha 50000 ni ufisadi tu.

Miaka ya kupangiwa maisha na gharama zake zimepitwa na wakati.

Kuita kila kitu "ufisadi" ni mgando wa fikra. Kama hutaki/huna uwezo acha. Hujalazimishwa. Jaribu kusafiri kupanua ubongo wako.
 
Sasa kwanini umenipa like? Unaposema miaka ya kupangiwa maisha na gharama yamepitwa na wakati, unaweza kuniambia hizo nyakati za kupangiwa maisha na gharama zake zilikuwa lini?
 
Wewe ndio ulioamua kupanga gharama yangu hii kama "ufisadi" sio mimi. Mimi natumia pesa yangu ninavyopenda. Nampa kila mtu " like" akipita hapa.

Na wakati wa Ujamaa kama hujui au hujazaliwa ndio wakati wa kupangiwa maisha na serikali kuanzia chakula mpaka fikra.
 
Kwahiyo wakati wa ujamaa hakukuwa na hotel iliyokuwa inatoa huduma kama hizo?
 
Kwa nini unalazimisha? Wewe tanua kivyako, mimi natanua kivyangu. Kama ulipenda steak ya wakati wa Ujamaa, ndio tupende wote?

Hivi shule ulisomeshwa concept inaitwa "freedom of choice"?
 
Back
Top Bottom