Msosi wa Rhapsody's DSM

Msosi wa Rhapsody's DSM

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1423565547.134721.jpg
 
Samahani. Hii ni T-bone Steak , pamoja na onion-rings (sio pweza). Hii ni hoteli ya makaburu inayoangaliana na Hellenic Club, viva towers, Ali Hassan Mwinyi Road, mjini. Ilikuwa kama tshs 50,000.
 
mkuu utapata minyoo
hivyo vitunguu vibichi hivyo looh
alafu red meet sio nzuri

lol nimetamani
 
mkuu utapata minyoo
hivyo vitunguu vibichi hivyo looh
alafu red meet sio nzuri

lol nimetamani

Unanichanganya sista. Mara nitapata minyoo, hapo hapo unatamani. Amua basi.

Hii sio red meat bana, imetengenezwa well done na inaenda vizuri na ndugu yake mvinyo mwekundu. Full starehe na kama kifo, tufe tu.
 
poa bana ukienda tena tupia kapicha
 
Wamemtoa rafiki yangu Mike ambae alikuwa manager pale kwa sasa wanajuta maana hakuna wateja wengi
 
Back
Top Bottom