Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,375
- 111,699
Sijakuelewa Mkuu.
....soma tena utaelewa tu
....unless hiyo Rhapsody's unayoitaja haipo Viva Towers
Sijakuelewa Mkuu.
Mtakujaga kutapika mbele za watu kwa kujaribu vyakula vya watu
Mkuu kwani kila mtu si hujikuna kwa urefu wa kuchaze...
Kama wewe uwezo wako ni kugonga supu ya makongoro ya buku jero, wengine wana uwezo wa kula vya buku 50...
Halafu sasa kuna wengine wenye uwezo wa kula zaidi ya hiyo buku 50 ila tu wamekausha kwa kuwa wanaona ni jambo la kawaida...
Mkuu, Siweki picha kwa nia ya kujionyesha. Kuna blog nyingi tu za watu wanaweka picha ya vyakula walivyokula kama hobby. Mimi pia ni hobby yangu.
Kwani nani aliyesema kuwa unajionesha mkuu?
Nimeandika kuwa umeamua kuonesha na huo ndio ukweli kwa kuwa hata sasa umekiri hivyo...
Hiyo post nilichofanya ni kumsaidia huyo aliyekuwa anashangaa...
Halafu tambua utofauti wa blog na forums, blog humilikiwa na mtu mmoja na ana uhuru wa kufanya chochote maana yeye ndiye super admin...
Lakini forums wamiliki ni wengi hivyo ukikosolewa piga kimya kwa kuwa nao waliokukosoa wanatumia uhuru ule ule ulioutumia kuweka ulichokiweka....

Watu weweeee! Baba la baba una majibu hadi basi
Nami nitatupia changu, nikuone sasa
Hahah...
Hebu tupia basi nasi wanywa supu ya makongoro tutie baraka japo kwa macho...
Kinapikwa wapi tukale chakula cha jioni leo!!Kimepikwa kwa bia? Nauliza kuna kimoja nilionja kimepikwa mwanzo mwisho na safar lager
Kinapikwa wapi tukale chakula cha jioni leo!!
Itakuwa imewekwa wine
Kwani kuna wanaoweka wine kwenye chakula?
hee hadi bia nenda kwenye resturant za wakorea , wachina, wajapani kuna baadhi wanaweka bia,wine na (mbege ):smile-big: