Msosi kijijini-ushindwe mwenyewe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msosi kijijini-ushindwe mwenyewe!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lole Gwakisa, Apr 27, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Pictures from old camera 038.jpg Pictures from old camera 039.jpg

  Wazee nilikuwa kijijini na nikakutana na msosi huu.
  Mchele wa Kyela, aroma mpaka taa wa pili.(Kyusa wanaita ngulyaga gwene)
  Avocado, embe,roasti ng'ombe,kuku,kachumbali!!!!


   
 2. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Msosi kwa macho unaonekana ni mzuri sana tu; ila vyombo vilivyotumika kuupakulia ni hovyo kabisa na hatari kwa afya! Yaani umenipotezea kabisa Appetite yangu leo...:welcome:
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,976
  Trophy Points: 280
  msosi mzuri ila kungekuwa na mbalaga au walau ndizi mbivu ungekuwa mzuri zaidi.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safiiii matundaaa
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu hiki kijiji gani wali nje nje!!! angalia mboga ilivonona, ni full nyanya na wese na kachumbali kwa mbaliiiiii.... hapa town bwana sema labda hao wenye huo msosi ni wa jamii ya wasukuma... si unajua wenzetu kilo ya ugali anaweza akala mtu mmoja au watoto wawili?
  ingekuwa kwa kijiji tungeona dalili za ukijiji... mboga ya jani kwa sana.... dona la maana, na mambo kama hayo
   
 6. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35

  Huku kwetu kijijini hivyo vyombo ndo the best we can afford. Tunaposema tuna maisha magumu tuna maana hiyo kweli.
   
 7. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mmmmmmmh,niwahi canteen fasta
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo mwendo kasi wako ndo unakusaidia kushiba
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuna kipaimara nini
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hiyo meza imeniacha hoi
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Madamex@ umenena huenda kipaimara au ubatizo na huo msoni ni mifuko ya watu imetobolewa.
  Bongo kuna mtindo mmoja wa ulaji siku hizi ni kwenye matukio kama haya kwani unakula hadi unahakikisha pesa yako imetumika vizuri.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Candid Scope Msosi Mzuri kwa sababu hakuna kitomoto....
   
Loading...