Msongamano wa boda boda!

ni tabata ubungo hapo....hizo si ndo zile ajira milioni moja za jk au
 
View attachment 55028
Abuja hapo maeneo ya igwe road kama unaelekea uwanja wa mashujaa karibu na nyumbani kwa akina P Skwea.

Nilidhani Abuja ni mji ulijengwa kwa plan nzuri na umepangika hasa barabara zake na fly overs...Lagos ndio mji uliokosa plan nzuri kwa Nigeria!
 
Sasa hapo BOKO haram wakitinga si balaa tupu??Ulaya kungekuwa hivi Alkaida wangefurahii
 
Kwa hali inavyokwenda hata Kariakoo patakuwa hivyo hivi karibuni, vituo vya bodaboda vinaongezeka na sasa vinaanza kuziba barabara.
 
View attachment 55027View attachment 55028

Nilidhani Abuja ni mji ulijengwa kwa plan nzuri na umepangika hasa barabara zake na fly overs...Lagos ndio mji uliokosa plan nzuri kwa Nigeria!

Dar es Salaam itakuwa kama Lagos. Dodoma inatakiwa iwe kama Abuja. Wenzetu walikuja kujifunza mkakati wetu na kutekeleza uamuzi wa kuhamishia makao makuu kuwa Dodoma. Wamejifunza na wametekeleza kwa kuhamia Abuja. Sisi tunaendelea na long longo...
 
Msongamano kama huo niliuona Congo DRC. Bodaboda za kila aina mpaka zile za mbao kama za comred kipepe na zote hazina plate number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…