Boda boda wanajua kuaibisha sana

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,694
40,958
Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia.

Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana.

Mjiongeze jamani.
 
Sasa unadhani hata akikushusha mbali watu hawatokuona ukiingia getini???

Ila sijui kwanini saa ya kuingia unakuwa na ujasiri hata wa kushikana mikono ila kutoka sasa unajawa na aibu na hofu mnapishana kutoka kama mna ugomvii😀😀😀😀 na usiombe iwe karbu na makazi ya watu, kuna mimama imekaa vibarazani.

Mbaya zaidi ukiwahi kutoka wanajua kabisa huyu kimoko chali😂
 
Mtu anayeishi maisha ya kuogopa au kuangalia watu watamuonaje au watamchukuliaje kama mleta mada,ni mtu anayeishi maisha ya kujitesa sana,

Live your life,be yourself,usiangalie watu wanaokuhukumu,hayo ni maisha yako na sio maisha yao,our life time is limited,be free to live your life.
 
Ndio kumshushia mtu pale reception kempiski kisa nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom