Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?
Ndugu, do an extensive research about hii comment ya papa. Its more than what u think. dhambi inapakwa pakwa asali ionekane kama sio dhambi tena.
ushoga ni dhambi, hata uipake Lotion ni dhambi tu
 
NI BORA ANGEWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI"NO COMMENT",yaani ametuaibisha Wakristo vibaya sana.
Then I heard another voice from heaven say: "'Come out of her, my people,' so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues
revelation 18.4
 
Tupe highlight mkuu.. wengine tupo kwenye daladala
Mmh nimekutia kati. Ni mkaka (shoga) anaelezea jinsi alivyoacha ushoga.

Kasema sio rahisi yeye Kuwa mwanaume tena, Kwa sababu ameathirika kisaikolojia. Inahitaji mtaalamu wa saikolojia ku-tackle situation hiyo. Na sio umparamie tu barabarani eti aache ushoga

Sasa hivi amesema anatamani sana kubeba mimba, na anaamini atapata sponsor wa kupandikiza. Ila kama atazaa mtoto afu Wa kiume, hatopenda kabisa mtoto wake awe shoga

Amesema akiamua kutaja wanaume ambao ni wateja wao, basi ataishia kutekwa tu. Mm vibosile hao jamani, na wanawahudumia sana. Na amesema wengi wao (wadada wa mjini including yeye), yanawakuta yote hayo Kwa sababu ya kuendekeza dhiki. Hela Huna Ila unataka starehe

Wana NGO yao inaowafadhili. Na huwa wanapewa wipes, dettol, mouthwasheds, condoms, vilainishi etc. Na huwa anawasisitiza Sana wenzie kutumia kinga coz dunia ya Sasa maradhi ni mengi

Amesema wazazi wengi hawafatilii watoto wao. Hujui anafanyaje shuleni, anapitia wapi Na anakutana Na nani. Zile mambo za kusema "me mtoto amenishinda, atajijua mwenyewe" , hazifai coz it's like umemnawa/kumsusa mtoto. Wazazi kuweni karibu sana na watoto wenu
 
Mimi nimekuwa nikiwauliza swali dogo lakini mnapiga chenga kulijibu. Nasema hivi, naungana na wewe kabisa 100% kuupinga huo uliouita 'ushenzi'. Sasa swali langu ni hili, tunapinga 'ushenzi', hao 'washenzi' tunawaachaje? Unapinga mapenzi ya jinsia moja, sawa kabisa tena jambo jema. Lakini, je, hao watu wenyewe wanaoshiriki hayo matendo unawasaidiaje? Na wenyewe unawatenga? Ukifanya hivyo, umetimiza wajibu wako kama mkristu? Hapo ndipo mnaposhindwa kumuelewa Pope. Yeye anazungumzia binadamu (mashoga), hazungumzii matendo (ushoga) kwa kuwa matendo ni kitu dhahiri kabisa kuwa hakifai. Lakini sasa, hao wanaotenda, hawana nafasi ya kurudishwa kundini? Ni namna gani nzuri ya kuwarudisha kundini bila ya kuwa nao karibu? Serikali na wadau wamejenga vituo vya kuwahudumia waathirika wa madawa ya kulevya (sober houses). Kwa kufanya hivyo, unataka kusema serikali inatetea madawa ya kulevya? Ni nani miongoni mwenu ameinua mdomo kwa kuishutumu serikali kuwahudumia mateja? Naomba majibu
Mkuu kama kuna mtu hata hapa jakuelewa basi ni ki.la.za first class.....Big up
 
Hawa nao kama wanapromot tu.
Ni aibu hata kukaribisha shoga na kumpa airtime.
Making it sound like its ok. Its fine.
Huko ulaya weshaanza kujitoleza na kuwa sympathized.
The Devil is very tricky.
Mmh wazazi tuwaombee Sana watoto wetu, apart from malezi mazuri. Inaumiza sana jamani daah. ....
 
Bustanini Edeni Mungu aliumba taasisi mbili.
1.Sabato
2. Ndoa
Sasa ni mpango wa shetani kuharibu taasisi hizo mbili kwa nguvu zake zote
Kwa kuruhusu ushoga basi atakua ameweza kuharibu (kubadili kile Mungu alichotengeneza ie ndoa ya me na ke)
Baada ya hapo ataleta sabato ya uongo ambapo nchi ya Marekani na papa wa Rumi kwa pamoja watapitisha sheria (itaanza USA) ya Sunday law.
Soma sana ufunuo na Danieli, haya yote yametabiliwa.
Tunaishi kipindi cha mwisho cha dunia.

Tubu ujiweke tayari
Fungua macho
Soma maandiko
Hakuna jipya chini ya jua
Hebu peleka kule hekaya za Bi Ellena White kule...
 
Mmh nimekutia kati. Ni mkaka (shoga) anaelezea jinsi alivyoacha ushoga.

Kasema sio rahisi yeye Kuwa mwanaume tena, Kwa sababu ameathirika kisaikolojia. Inahitaji mtaalamu wa saikolojia ku-tackle situation hiyo

Sasa hivi amesema anatamani kubeba mimba, na anaamini atapata sponsor atazaa tu
duh... Siku hizi ukipata mtoto wa kike, utahofia mimba akiwa masomoni au prostitution..

Wa kiume nae mweh..

Ila vitu vingine ni nje hata ya uwezo wa wazazi, wanamlea mtoto vizuri tu.. But mwisho wa siku anaingia kule kulee kusikotakiwa..
 
duh... Siku hizi ukipata mtoto wa kike, utahofia mimba akiwa masomoni au prostitution..

Wa kiume nae mweh..

Ila vitu vingine ni nje hata ya uwezo wa wazazi, wanamlea mtoto vizuri tu.. But mwisho wa siku anaingia kule kulee kusikotakiwa..
Yani ni kuwaombea tu Kwa Mungu, maana daah. (Check post yangu ya juu, nimeongezea maelezo)
 
Hapo mm bila kumung'nya maneno hii kitu ya jinsia moja mm sikubaliani nayo hata papa nae kiongozi wa dili ni jukumu lake kujemea swala hili na sio kukaa pembeni yaan!!!!
 
Kinachoenda kutokea kutimia kwa unabi wa Ufunuo13:11-kuunganisha uprotestant na ukatoliki.kuwa kitu kimoja.
 
Hapa chini nakuwekea link ya shoga aliyekuwa muisilamu, akaacha ushoga baadaye akachukuliwa na Waprotestant na kuokoka. Sasa uniambie hapo kuna tofauti gani na wanachotaka kufanya Wakatoliki. Soma hapa chini:

Aliyekuwa Shoga maarufu jijini kama Aunt Asu aokoka

Na Papa anafahamu kwamba Mungu anaweza kubadilisha watu kuacha tabia mbaya? Kama Ni ndio basi asiwaombe radhi ila awakanye na kuwaombea ili wabadilike
 
We mgumu kweli kufundishika! Hata Mungu mwenye upendo kuliko wewe mwanadamu ipo siku atawahukumu wanadamu na waovu wote amesema sehemu yao ni ziwa la moto. Sisi tunakemea huo ushenzi halafu wewe unakuja hapa unasema hatuna upendo!!! Hivi kukemea ni kuonyesha chuki?? Mpendwa naomba urudi darasani nadhani shule yako bado ni ndogo
Hahahahahhaahah lol shule yangu ni ndogo sababu sikubaliani nawe. Lol. Pole mkuu

Naomba kuuliza mashoga wamekufanyia nini wewe binafsi? Wamekudhulumu nini tu?
 
Back
Top Bottom