Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,800
- 6,595
Hili ni fenesi, msimu wake ni kuanzia oct hadi march, matunda haya na yote aliyotaja mkuu Amavubi yanapatikana kwa wingi kiasi chake hapa bustanini kwangu!
Fenesi ni tunda lenye radha ya pekee kiasi cha kufanana na ndizi licha ya kwamba lina harufu isiyokuwa na mfanano na tunda lolote, ila usile ukapitiliza... ni hatari kwa afya...