Msisahahu Matunda Mtavimbiwa

Msisahahu Matunda Mtavimbiwa

15697459_10206433643920249_1995416095403874634_n.jpg
 
Daah, unanitamanisha mkuu nimetafuta mapapai wiki nzima sioni ila leo nayaona kwenye pics tu!
Pia mabibo yamenikumbusha enzi zile nakaa na wakulima wa korosho-unakula mabibo hadi unakohoa ila upo tu kama Tyson wa mara serikalin
 
NDIO MAANA KU

LIITWA MABIBO
 
Nimetamanije hiyo kitu...two yrs nitakuwa na around aina tatu ya uliyoweka hapa kwenye picha
 
Haya ni mapapai! yanastawi kanda zote isipokuwa yanashambuliwa na magonjwa kwenye ukanda wa baridi.
Tunda hili linafaa zaidi kwa watu wenye matatizo ya mmeng'enyo wa chakula(constipation) 'yaani waendao haja kubwa kwa kujikinya' ukila utakuwa bwee!
 
Back
Top Bottom