Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Kwani kunywa pombe mpka utenge mda mimi ni kazi dawa hakuna kupumzika.
 
Napenda kushinda na familia home pale ninapokuwa sina mingo za maana...

Sina mchepuko bado
 
Mi huwa sielewi wengine ni mpela mpela monday to monday,huku kuna jinga moja linapoteza muda kwenye vijiwe
 
Church for prayers, jumapili, ijumaa,jmatano, jmatano na ijumaa saa10 mpaka saa 12,niko church, jpili saa 4 mpaka saa 11 jioni Sunday service, ukipiga routine hiyo huna muda wa kupoteza
 
Hivi draft ni kipaji au mtu anajifunza??
Kusukuma kete najua ila zile sijui kopi ndo sijui hata moja
Draft unajifunza, anza kuuzulia mitanange ya wanaojua na anza kucheza mara kwa mara hizo copy utazijua tu kadri unavyocheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…