Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Najiweka busy kikazi na pia na account zangu za social media. Naangalia umbeya nikichoka napika nikimaliza nakula nalala ndio imeisha hiyo siku. Kama sina kazi za kupata hela no sex or alcohol
 
Hatuna muda wa kupoteza
 
Hii mada, nimekaa siti ya dereva na mm nichukue notes, nikiacha pombe huo muda niutumie vipi.
 
Unaomba Mungu akupepe maisha marefu alafu unapoteza muda tena?

Labda ungesema kuhusu kupumzisha akili ikichoka au kusongwa na mambo mengi...

Na katika hili Kila mtu na style yake.
 
Kwanini uache pombe unataka ufocus na nini uji au? Ebu usijitese mkuu rudi mzigoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…