Msinitafute nimehamia jukwaa la wakubwa...!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Hebu ngoja nifurahishe nafsi kabla sijalala mie maana mama Ngina keshalala zamaani.........!

myspace-378x367.jpg
 
eeehhh kachanga kakupiga ban....... King'asti naye yupo huko.......
we acha tu, katoto hakalali macho makavuu..
Huyo King'asti hajatulia nashangaa kapataje access ya kuperuzi hiyo makitu wakati hata bado binti mbichi hebu ngoja nimchungulie ole wake nimuone hapo chini....
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi bora yako wewe! Mi siku hizi pananishinda huko kwa kina Funza- beberu , coz kila nikienda narudi nimenawa chapachapa bila kula !
 
we acha tu, katoto hakalali macho makavuu..
Huyo King'asti hajatulia nashangaa kapataje access ya kuperuzi hiyo makitu wakati hata bado binti mbichi hebu ngoja nimchungulie ole wake nimuone hapo chini....

kwani mshua, @blaki woman ni gelofrendi wako? Mbona anatuchonganisha? Mie navaa niende sunday skuli afu leo kuna kusafisha nyumba mpya ya mapadre ntachelewa kurudi.
(weeh endelea kupiga puli nguvu zenyewe za kupulizia kwa ungo, na maza namuona anazidi kiwa kijana. Shauri yako!)
 
King'asti nipe heshima yangu tafwazar.
 
Back
Top Bottom