Hebu ngoja nifurahishe nafsi kabla sijalala mie maana mama Ngina keshalala zamaani.........!
![]()
Ukimuona Evelyn Salt mwambie jana kanifanyaje??? Me namsubiri tutoke out, akanizimia simu.... am so :sad: :sad:
Ngoja mie niende zangu jukwaa la stress nikapasue kichwa huko!
eeehhh kachanga kakupiga ban....... King'asti naye yupo huko.......
hahahahah umenichekesha kweli ulijuaje, vichanga vinapiga ban kuliko mod wa hapa mi nilipigwa ban wiki ikabidi nitafute mbinu mbadala tena asubuhi vinawahi utafkiri anaenda shule hata raha ya break fast hamna
ukiwa mwepesi unaweza jikuta unatafuta sab.... ya muda
hadi saa nane za usiku vinanyonya tu duh!. mia