We dogo unadhani mi ni kama wewe unayetolewa ngema machoni kila weekend? Mi nalindwa kama Nkapa meeeeen!Vipi mzima? Nilisikia ulipigwa kule unga limited, ilitokea nini?
Case je imekwisha?
rabekha mume wangu!Jamani nawatafuta cacico, Yummy na BADILI TABIA.
Kuna maamuzi magumu nataka kuyafanya, nahitaji ushauri wao.
Mkiwaona waambieni wanidipu ili niwapigie
Naam, hatimaye roho yangu imepona....rabekha mume wangu!
wamejichimbia msikiti wa mtambani kinondoni wanajiandaa na maandamano.Jamani nawatafuta cacico, Yummy na BADILI TABIA.
Kuna maamuzi magumu nataka kuyafanya, nahitaji ushauri wao.
Mkiwaona waambieni wanidipu ili niwapigie
ni yeye.Ni wewe kweli figganigga? Mbona hakuna mia? Nadhani umeshajishtukia. GUD-DAY, mia.
mwenzio nimeteguka kiuno.
na kiuno chenyewe kanitegua Mama Ashrat for your sad information,hayo maujanja sijui kayapata wapi.You are a dead man walking