Msimu wa mapenzi mubashara: Valentine's Quotes

Msimu wa mapenzi mubashara: Valentine's Quotes

8. Have good morals. Good morals are a necessity in convincing a man to love you. Nobody wants to get involved with someone who can't be trusted. Men like women who are disciplined and are not pushovers. Behave maturely towards him and be respectful of him, just as you expect him to be respectful towards you.
 
If you can be true to yourself and demonstrate all these types of qualities, your perfect match will definitely fall in love with you!
 
Mwanamke anahitaji nini kutoka kwa mwanaume?
 
KUTATULIWA MATATIZO
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.
 
KUBEMBELEZWA
Wanawake hupenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni, wengi wao hawapendi kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.
 
KUWA NAMBA MOJA
Safari ya penzi la mwanamke haishii kwenye kumpata na kumliki, kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya hapo. Jambo la tatu ambalo wanawake wengi huhitaji ni kuwa namba moja au kupendwa.
 
Wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, Malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya.
 
KURIDHISHWA KWENYE TENDO
Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa kiwango gani, ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako. Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika tendo hilo. Utundu unahitajika ili kumkata kiu mpenzi wako.
 
MAZUNGUMZO
Wanawake wanatajwa kuzungumza maneno 25,000 kwa siku, huku wanaume wakibaki na kiwango cha maneno 5,000 kwa siku, hii ikiwa na maana kuwa wanawake hupenda zaidi kujieleza walivyo mbele ya wengine. Kwa msingi huo wakizuiwa wasiongee hujiona kama wanakosa nafasi muhimu ya kueleza mawazo yao. Kama una mpenzi wako mpe uhuru wa kuzungumza na kumsikiliza bila kumkatiza kwa ukali.
 
Hii kitu ilishanimaliziaga sana vipoket money vyangu pindi nasoma kwa kununua vile vidaftari vyenye karatasi maalumu zenye maua na vijumbe vifupifupi vya kimahaba, vistika vya kubandika na perfume za kunyunyiza ktk bahasha ninapimfungia laazizi wangu. Mbaya zaidi na inayouma hadi leo ni kwamba sikumtafuna huyo mrembo mwenyewe.
 
Valentine.jpg
 
Hii kitu ilishanimaliziaga sana vipoket money vyangu pindi nasoma kwa kununua vile vidaftari vyenye karatasi maalumu zenye maua na vijumbe vifupifupi vya kimahaba, vistika vya kubandika na perfume za kunyunyiza ktk bahasha ninapimfungia laazizi wangu. Mbaya zaidi na inayouma hadi leo ni kwamba sikumtafuna huyo mrembo mwenyewe.
Poleee sana wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom