Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
- Thread starter
- #201
KUTATULIWA MATATIZO<br />Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.Asante ila ungenirudishia hata sehemu kidogo ya hiyo pesa ningepoa zaidi.
