Mkuu Kilembwe, kumbe humjui Zoba! hapa anataka kuwagombanisha wana CHADEMA kwa fitina zake za udini. Hapo anataka kutumia uislam wa mh. Zito kwa manufaa yake. Zoba ni mtu wa kuogopwa sana. Tangu lini gamba kama yeye akajifanya msemaji wa mh.Zito?
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.
Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.
Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
Mie nilisoma mahala akinukuliwa Zitto anasema kuwa atagombea Urais 2015 na mimi namuunga mkono kuanzia mapema. Vipi hupendi?
Fuata yako ndugu
umetumwa?
System At Work
Aheri umemwambia kwa kumuelimisha, sisi tunamtazama tu anavyoweweseka hapa jf kutwa kucha! Kila thread hapa jf lazima Zomba aichangie kinyume, na kila siku lazima aanzishe thread zaid ya 20 na kuzisimamia ipasavyo hata kwa ujinga tu basi atabishana kutwa kucha!Zomba
Nimepitia taratibu Na Kwa makini bandiko lako.. Na Kwa bidii nikawa napitia kila hoja ya raia unavyoijibu.. Na baadae nikavutiwa kujua huyu ni Kama wewe ni mwanachama Wa CDM, baadae ukanisaidia sana kufundua kwamba sio CDM.
ungekuwa mwana CDM, Basi nadhani rasmi Chama kingekuwa kimevamiwa Na kirusi cha Kutisha mno.
Na hili ndilo tatizo la CCM Chama chetu hiki. Kwa miaka mingi kimejitahidi kupindua ila sasa kinajipindua chenyewe.. Sijui ni Laana gani hii. Ona Zomba, umejenga Hoja ya yako, sasa ulivyoanza kujibizana mabandiko ya raia, ukajisahau , akili yako ikawa haina akili tena, ukajikanyagakanyaga Na kujibizana Kwa lugha za kimwambao Na zenye tafsiri ngumu.
Kuna tatizo kubwa sana Ccm, kuna utitiri wa wabunge, madiwani, ma DC, mawaziri Na hata Rais.. Ila wote wemelazwa.. Kila mmtu Yuko bize kivyake.. wamemwachia Nape ambaye maskini ya Mungu Hajui nini aseme wapi, Mara atoe amri as if ni waziri, Mara atoe maelekezo Kama Rais vile ,, ila anazunguka tu peke yake Ccm imelazwa fofofo.. Kazi kupiga majungu tu Na propaganda za kipumbavu ambazo zinakididimiza Chama ..
Pambaneni uwanjani.. Hoja Kwa Hoja .. Mambo ya CDM yanakuhusu nini..
Aaaah Zomba mwana CCM hata wewe umeingia ktk kukatiwa pochi mkuu wangu? vibaya hivyo. Zitto wetu sisi na tunampenda sisi haya mtayasema sana mwaka huu na 2015 inapiga hodi tik tak tik tak..Zitto yupo sana Chadema na anafurahia sana mnapogongana kwa ashiki zenu wenyewe hamuishi kumtaja taja. CCM hatokuja na wala msitegemee kutuvuruga maana ndio nia yenu watu wafikirie kwamba hii ni kambi ya Zitto..maanake tunawajua mlofanya kwa ghiriba zenu kwa yule Kabourou - leo chanuu!. Mtawachukua tu kina Maalim Sief, Mbatia wenye mukhu wa kuitwa waheshimiwa lakini sii hapo mkuu wangu.Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.
Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.
Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
Zomba
Nimepitia taratibu Na Kwa makini bandiko lako.. Na Kwa bidii nikawa napitia kila hoja ya raia unavyoijibu.. Na baadae nikavutiwa kujua Kama wewe ni mwanachama Wa CDM, baadae ukanisaidia sana kwamba sio CDM.
ungekuwa mwanachama wa CDM, Basi nadhani rasmi Chama kingekuwa kimevamiwa Na kirusi cha Kutisha mno.
Na hili ndilo tatizo la CCM Chama chetu hiki. Kwa miaka mingi kimejitahidi kupindua ila sasa kinajipindua chenyewe.. Sijui ni Laana gani hii. Ona Zomba, umejenga Hoja yako, sasa ulivyoanza kujibizana mabandiko ya raia, ukajisahau , akili yako ikawa haina akili tena, ukajikanyagakanyaga Na kujibizana Kwa lugha za kimwambao Na zenye tafsiri ngumu.
Kuna tatizo kubwa sana Ccm, kuna utitiri wa wabunge, madiwani, ma DC, mawaziri Na hata Rais.. Ila wote wemelazwa.. Kila mmoja Yuko bize na mishemishe za kivyake.. wamemwachia Nape ambaye maskini ya Mungu Hajui nini aseme wapi, Mara atoe amri as if ni waziri, Mara atoe maelekezo Kama Rais vile ,, ila anazunguka tu peke yake Ccm imelazwa fofofo.. Kazi kupiga majungu tu Na propaganda za kipumbavu ambazo zinakididimiza Chama ..
Pambaneni uwanjani.. Hoja Kwa Hoja .. Mambo ya ZITO yanakuhusu nini Kama si mwachama Wa Chama alichoko Leo ..
Aheri umemwambia kwa kumuelimisha, sisi tunamtazama tu anavyoweweseka hapa jf kutwa kucha! Kila thread hapa jf lazima Zomba aichangie kinyume, na kila siku lazima aanzishe thread zaid ya 20 na kuzisimamia ipasavyo hata kwa ujinga tu basi atabishana kutwa kucha!
Aaaah Zomba mwana CCM hata wewe umeingia ktk kukatiwa pochi mkuu wangu? vibaya hivyo. Zitto wetu sisi na tunampenda sisi haya mtayasema sana mwaka huu na 2015 inapiga hodi tik tak tik tak..Zitto yupo sana Chadema na anafurahia sana mnapogongana kwa ashiki zenu wenyewe hamuishi kumtaja taja. CCM hatokuja na wala msitegemee kutuvuruga maana ndio nia yenu watu wafikirie kwamba hii ni kambi ya Zitto..maanake tunawajua mlofanya kwa ghiriba zenu kwa yule Kabourou - leo chanuu!. Mtawachukua tu kina Maalim Sief, Mbatia wenye mukhu wa kuitwa waheshimiwa lakini sii hapo mkuu wangu.
Tuacheni tuijenge nchi.
Bado u mdogo sana kuelewa kuwa kura za chama kimoja hazimpeleki mtu Ikulu kwenye siasa za vyama vingi.
Hapana sijakatiwa pochi na mtu wala sitegemei kama kuna siku itakuwa hivyo.
Zitto ni kijana ambae hakuna ataepinga kuwa ameipaisha sana chadema, lakini kwa masikitiko makubwa naona chadema wanamtenga, sijui kwanini.
Namfatilia sana siasa zake, ingawa na yeye ni kama binaadam mwengine yeyote kwani sote sisi hakuna aliyekamilika, juu ya mapungufu yake lakini ni kijana anaejituma, mchapa kazi na anakwenda na wakati kisiasa. hayumbishwi hovyo na huwa ana misimamo katika hoja zake. Namsikitikia sana kuwepo CHADEMA kwani mwisho wa siku watampiga teke kama vile hajawafanyia kitu. Nyota njema huonekana Alafajiri.
Zitto hata akiwa chadema na akigombea basi kura yangu anayo.
Ulitaka awe CUF na NCCR?