Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Endelea kujiuliza wakati wenzako wanasonga mbele huku wakimalizia kamkia kalikobaki.
 
Hilo liko wazi bado wapo wanachadema wengi tu ambao wanasimamia misingi ya Chadema asilia, sio hii ya Mbowe kubadili gia angani na kuuza chama.

Wagombea ubunge na udiwani wa Chadema, wengi sasa wanapigania maslai yao kwa maana ya viti wanavyoviwania.

Utashangaa baada ya uchaguzi dharau za wabunge zitavyoibuka dhidi ya Chama, ule utiifu kwa chama wote umeisha, Na mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna wa kusimamia wala kufuatilia maendeleo ya wagombea majimboni zaidi ya wao wenyewe kukuruka.

Sasa hivi huwezi kuona umoja kama ule wa awali, wabunge kusaidiana kwenye majimbo, mbunge wa jimbo A kwenda kusaidia mgombea wa jimbo B.

Nakumbuka 2010 wabunge wengi sana kama sio wote walitembeleana majimboni, kupeana nguvu na kubadilishana uzoefu lakini leo kila mtu na lwake.

Sasa hivi hakuna vikao vya kamati kuu kujadili mwenendo wa kampeni , ila Kuna vikao vya Mbowe na Team Lowassa.

Hakuna matamko ya Chama, ila Kuna matamko ya team Lowassa, Mbatia akiwa akitangulizwa mbele kama kondoo wa kafara.

Yuko wapi John Mnyika Naibu katibu mkuu Bara, yuko wapi Tumaini Makene msemaji wa Chama, Salumu Mwalimu ni kama anaburuzwa tu , japo alizunguka Tanzania nzima na watu tukamwelewa kuwa kijana ni hazina ya chama lakini leo kapotelea wapi? hatujui pengine nafsi inamsuta kwa kutenda asiyoyaamini.

Kwa kweli bado naiota Chadema yangu ya awali, Chadema ya kujitolea, Bila kujali gharama ama muda.

Japo sijui itarudi lini lakini bado naiota, Chadema ya makamanda wa ukweli sio hao wa sasa wa plastic.

Chadema ya Silinde, Lema, Sugu , Wenje, Lisu, Mdee, Mnyika, Msigwa wakiongea utapenda uendelee kuwasikiliza.

Na ndio waliochangia vijana wengi kujikita kwenye siasa kuanzia serikali za mitaa mpaka ubunge, sasa hivi si ajabu kijana wa miaka ishirini ni mwenyekiti serikali za mitaa, Madiwani ndio kabisa vijana wadogo kabisa ndio wanawania.

Ila hii Chadema ya Sumaye, Masha, Babu duni, duh!! Mungu atunusuru.

Wote hao wako jimboni wanafanya kampeni kutetea majimbo yao. Wewe unataka wafuatane wamekuwa kondoo.? Mbn huwakosoi wale magufuli aliowaita wako nae mchana usiku wanamsaliti.
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Kama wewe ni mfuasi na muumini wa Dr. Slaa mshauri awasilishe matatizo yake kwenye 'DAWATI LA JINSIA, JESHI LA POLISI TANZANIA' vinginevyo huyo mwenza wake atazidi kumuharibia. Mwambie pia kuwa MAKAMANDA NDANI YA UKAWA WANAZIDI KUCHANJA MBUGA KUELEKEA 25 OCTOBER, 2015
 
Mwenzenu sasa hivi yuko DisneyLand,nyie mnalalama tu.
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!
1.kamanda wa ukweli utamjua itakapo tokea vita, atakimbia au atabaki...nafikiri hujui sifa za kamanda wa ukweli.
2.ulitaka achukue wiki ngapi?...ili agombee kuwa raisi.
3.Una maana gani kusema bila kuthamini, kila mtu kachangia kukuza chama, wao bila sisi, na sisi bila wao pasingekuwa na kitu...jinga
4.Hii sio Dini, hii ni siasa, Hatuna adui wa kudumu, ukitaka kujua kwa nini , tusaidie kuleta ushahidi wa ufisadi wa huyo Lowasa.
5.makapi ni lugha ya ccm,...na sisi sio ccm.
6.wewe sio mpinzani, hujitambui, ulimfuata Slaa, sio Upinzani..kwa hiyo mfuate huko aliko,mwenzio anakula bata us.
7.Hakuna aliye kamanda akafuata upuuzi wako, labda ma..la..ya...peke yake.
 
mwenzako yuko America anatungua maraha na mtoto wa kihaya,je wewe mwenzangu uko kitongoji gani kwa sasa?
 
chadema asili wote wapo ACT cjuh ww unasubili nn?
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Labda nikukumbushe tu kuwa "kamanda" Slaa alizuiliwa na mama ajitoe kwenye siasa wala si ujio wa Lowasa. Sasa huyo ndiye mnataka kumuenzi sawa.
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Mi naona sasa hivi ni wakati wa kupambana kunitoa ccm madarakan na sio kujadil mambo ya Dr subir baada ya kura acha kutuchanganya wewe au umetumwa sis tuko bze na kampen .
 
kasome IFRS 10, business combination kwanza, then uje utuambie Chadema Imekuwa aquired by EL kwa % ngapi, then wewe kama NCI kadai share yako ya goodwill na Pre Aquisition profit, sio kupiga kelele
 
Babeli Kadi yangu ya uanachama ni 387, na mimi ni CHADEMA asilia? Au uasili wa CHADEMA unamaanisha nini? Misingi unayoipigania unayodai heri ya CCM ni ipi, hivi unadhani kuwa CCM ina misingi bora zaidi ya ile ya CHADEMA? Kama upo babeli angalia usikae karibu na mnara maana ni LAZIMA huo mnara utaanguka tu!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinaitwa "Chadema asilia." Kwenye ofisi za Jaji Mtungi kuna jina la chama kinachoitwa "chadema." Kama vipi nendeni mkasajili chama chenu kwa jina la "chadema asilia" msituchoshe.
 
Ukereketwa wako na mwanaccm mwenzio wala hautikisi jamii inayohitaji mabadiliko wewe wa 387 cdm mwenzio hata ya ccm hajarejesha na wewe tujuze ulimkabidhi nani ktk ujio wako cdm?
 
kasome IFRS 10, business combination kwanza, then uje utuambie Chadema Imekuwa aquired by EL kwa % ngapi, then wewe kama NCI kadai share yako ya goodwill na Pre Aquisition profit, sio kupiga kelele

hahahah umenikumbusha mambo ya kihasibu asee huyo jamaa hata kuelewa maana komasoma utalii tuu
 
Vikao vya Chama vilifanyika lini mara ya mwisho?
kama suala ni vikao vya chama basi uchaguzi ndani ya ccm ni maigizo, wewe watu 40 wanchukua fomu, wao na wapambe wao, halafu anakuja mtu na list kutoka either nyumbani au kwa mkewe na anasema nyie waote hapa mtakaowachagua ni huyu na huyu, looh , sasa hiyo demokrasia ya wapi, na mbaya zaidi ni katika wa tano, wanne ni watu wa karibu na yeye, ilibidi tuu watu wa lowassa , ndiyo wampe magufuli , kukomoa wale wanne waliobaki, naona kama unasema ndiyo demokrasia, basi una tatizo la kichwa, hiyo ni thamthilia
 
Wote hao wako jimboni wanafanya kampeni kutetea majimbo yao. Wewe unataka wafuatane wamekuwa kondoo.? Mbn huwakosoi wale magufuli aliowaita wako nae mchana usiku wanamsaliti.
lazima tukubali contradiction ndani ya ccm ni kubw a kuliko tatizo la ukawa, na tayari magufuli ni kama anakimbia na mpira wake mwenyewe bila kumpasia mtu wala kocha wake mkuu, ashindwe, au ashinde, ni lazima sana ccm itabadilika sana, nahisi kitu cha kwanza tutakachoona ni revolt against their chairman, muda pale uraisi utaisha, nikiingia rohoni kwa pinda, balali , profesa muhongo, mark mwandosya, warioba, hawa ni watu wana maudhi kwa sasa ya rohoni, lakini baada ya tarehe 25 octoba yatakuwa maudhi ya wazi, ni kwa mtazamo wangu, hawa ni watu wazima, amabo wamefanya uamuzi wa uvumilivu, wakiamini kuwa kwa nini tumuachie chama mwenyekiti wa mpito ( miaka kumi imepita) na aondoke ili tukichukue chama cha nyerere kutoka kwenye mitandao na uswahili uliokithiri, naamini hii itakuwa sooner than later, hapo contadictions za magufuli hatutazizungumzia, kwani kama suala ni mabadiliko, basi mabadiliko kutoka kwa kikwete, tofauti na mabadiliko ya lowassa ya kutoka CCM kwenda chadema. magufuli atataka mabadiliko ya mfumo wa utawala wa nchi, na ndani ya CCM, na pamoja na uongozi wote kutoka wilaya hadi taifa, watu wa poyoyo, jazba na matumizi mabaya ya nguvu za umma, mitandao ya watu na blind followers ( bulembo, nape, makonda etc) , kwa hiyo situation ya siasa tanzania ndani ya nchi na ndani ya ccm yenyewe, bado iko very fluid, bunge bado hapo, na contradiction za zanzibar bado hapo
 
Safi sana kamanda kwa kujitambua, hata mimi ni chadema siwezi kuuza utu wangu kisa feza anazotoa mzee lowasa. Nipo pamoja na Dr SLAA

" Subiri matokeo baada tu ya tarehe 25 Oct 2015, ili umtafute Dr Slaa aliko walau anaweza kukusaidia maisha...."
 
Back
Top Bottom