Msimamo wangu

Msimamo wangu

thats it, mwanaume co ndugu yako hawatabiriki hawa, tena ukute mhongaji pembeni ati!! uwii yangu hagusi hata kumi atatumia yake tu pia tutatumia yake tu!!

Na kama mpaka unafika hapo yeye ni main player katika mafanikio yako utafanyaje?
 
Dawa yako ni kipigo tu utaita majina yote ya pesa unazozijua duniani.
 
Tabia halisi ya mwanamke.

kabisaaaa, mengine tunakubaliana nayo tu kwavile there is no way out, ila hivyo ndivyo tupendavyo(ukibisha una lako jambo)
 
Na kama mpaka unafika hapo yeye ni main player katika mafanikio yako utafanyaje?

hilo ni jukumu/wajibu wa kawaida kabisaa kwa mwanaume, mengine viherehere vyetu tu wanawake
 
Dawa yako ni kipigo tu utaita majina yote ya pesa unazozijua duniani.

kisa cha kunipiga nn? kila mtu na misimamo yake ati! umeona haikufai unasepa kimyakimya sasa kisa cha kugawana majengo ya serikali nn!!!
 
kisa cha kunipiga nn? kila mtu na misimamo yake ati! umeona haikufai unasepa kimyakimya sasa kisa cha kugawana majengo ya serikali nn!!!

Kupigwa na mpigwe tu maana hamuonyeshagi misimamo kisa mnataka ndoa, ukishaingia kwenye ndoa ndo mnaanza visa.

Na mpigwe tu majengo ya serikali inategemea saaaana.
 
Kupigwa na mpigwe tu maana hamuonyeshagi misimamo kisa mnataka ndoa, ukishaingia kwenye ndoa ndo mnaanza visa.

Na mpigwe tu majengo ya serikali inategemea saaaana.

teh teh teh!! jipe moyo
 
atoto bado unasimamia huu msimamo wako? Au miongo imepita sasa kuna reshuffle tayari..?
 
Last edited by a moderator:
eti eeeh!!! ila inakuwa anact tu ila kiuhalisia hicho ndicho anachokitaka!

atoto! maneno uliyoyasema yanatoka moyoni kabisa?
acting becomes the reality after some times.
Kidogo kidogo utaukubali ukweli tu...
 
atoto! maneno uliyoyasema yanatoka moyoni kabisa?
acting becomes the reality after some times.
Kidogo kidogo utaukubali ukweli tu...

eti eeeh?! ila msimamo unabaki palepale
 
Hamna kitu kama hicho?
Unless una hang na mtu kwa sababu hutaki kuwa single and lonely...!

hahahaaaaa!! hiyo ilikuwa changamsha genge tu sijui nani kaifukunyua tena hii
 
Back
Top Bottom